Kwanza kumpata mtu kama Tundu Lissu kwenye taifa ni hazina. Mtanzania gani angetandikwa risasi zile za kutosha YET akaendelea na harakati zake.
Yupo wapi Ulimboka, hadi wa leo alituahidi atarudi kimyaaaaaa!!
Lazima mmoja ainuliwe kwa faida ya wengine - Tumshukuru MUNGU kwa hili - leo hii Lissu...
Tangu sakata la Lissu kupigwa Risasi akiwa anahudhuria vikao vya Bunge, Matibabu yake nchini Kenya na Ubelgiji wazee wetu wamekuwa kimyaa as if hawapo kabisa nchini.
Juzi Lissu kaanza ziara nchi za Ulaya na Marekani kuelezea kwa undani yaliyomtokea kwenye shambulio lake la kutaka kutoa uhai...
Zitto lianzishe braza!! madogo tupo gado - maisha yenyewe ugali nguna bora utangulizwe mbele ya haki mapemaaa ukapumzike - twende kaaaaazi....toa siku na tarehe tuingie rodi.
Waziri mambo ya nje atakuwa anatamani hata kuachia ngazi, kazi kwake imekuwa ni ngumu kweli kweli - kwenda kote huko kusafisha alama za miguu ni kazi ngumu, Kusafisha hoja za ukweli huwa ni kazi ngumu ajabu.
Wakuu; kwa wanao hitaji vifaranga chotara vya Sasso tafadhali tuwasiliane kwa 0682 231053;
Pia ushauli kuhusu;
Chakula
Mabanda
Kudhibiti magonjwa
Matibabu
Uzoefu wa ufugaji miaka 15; tembelea shamba darasa letu Kigamboni.
One day Chic sisi tutawapa malex, wewe utawapa siku ya 7, 14, 21 na 28 - Tutakuelekeza. Kuhusu bei we tutafute tutaona namna ya kusaidiana hasa kama unachukua wengi.
Kuku 3 hadi 4 wanaweza kukaa eneo la SQM 1, yaani hatua moja urefu na hatua moja upana. Sasa banda la kuku 500 unaweza kufanya hatua 15 urefu na upana 8 linatosha kabisa kuku wako hao.
Je unafuga kuku wa aina gani? tunaweza kukupa ushauri bure!!! Kama ni la matofali basi weka kozi 3 tu, then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.