CHADEMA wamjibu Waziri Kangi Lugola kuhusu shambulio la Tundu Lissu

Sasa hapo ndio wamejibu nini?
Mbona hawajaongelea Lissu kupigwa risasi kulia na dereva kutoroshwa?
 
Ukitaka kuwavuruga chadema waambie wamtoe dereva wa Lissu
Wasanii hawa,huyo mkuu wa kikosi cha utesaji viongozi kigaila,angefanya la maana sana kama angetangaza kumtoa dereva ili ahojiwe

Unamleta dereva kuhojiwa na hao askari wenye vyeti fake? Hao askari wenye vyeti fake ili kulinda vibarua vyao wataishia kuchukua maagizo ya nini cha kufanya toka kwa mshukiwa namba moja hapo whitehouse. Simply wachunguzi wa hapa nchini wako kuliko kulinda maovu ya watawala fullstop.
 
Mimi nadhani sio sahihi kwa kila jambo Chadema kukurupuka na kuijibu CCM......Lugola ni CCM....na hawezi isaliti kambi yake na serikali anayoiongoza!

Lengo la Chadema kama chama pinzani wawe na sera madhubuti za kuweza kuishawisha jumuiya ya watanzania na hatimae kuwapa ridhaa ya kushika dola.

Kujipanga kimikakati ni muhimu zaidi kuliko kelele zisizo na mashiko.

Nichelee tu kusema..endapo CDM hawatobadilika basi itakuwa ni ndoto kwa wao kuweza kuiongoza nchi hii ya Tanzania.

NB: Siasa ni mikakati na sio kubwabwaja pasipo kuwa na malengo mahususi.
Sina hakika kama ulicho changia hapa kina uhusiano wowote na UZI hu, unaweza kua na point but not on this thread; Kangi kaongea kama waziri wa mambo ya ndani and hence Chadema kukaa kimya kuhusu jambo ambalo waziri wa mambo ya ndani kalizungumza, wale wanao fikiria vizuri lazima tunge question ukimya wao, walau sasa tumejua pande zote mbili, story ime balance.
Kingine ni hiki; binafsi siamini kama sisiemu inaweza kutoka madarakani kwa njia ya KURA labda Mungu aamue mwenyewe tu, hata kama ikishindwa kwa 98% still siamini kama eti mtangazaji ambaye ni kada wa ccm ( Kama alivyo Lugola tu kwa maana ya maneno yako) anaweza kukitangaza chama chochote kilicho shinda eti ndio mshindi, hiyo ni ndoto ya mchana kweupe kabisa.
 
Mimi nadhani sio sahihi kwa kila jambo Chadema kukurupuka na kuijibu CCM......Lugola ni CCM....na hawezi isaliti kambi yake na serikali anayoiongoza!

Lengo la Chadema kama chama pinzani wawe na sera madhubuti za kuweza kuishawisha jumuiya ya watanzania na hatimae kuwapa ridhaa ya kushika dola.

Kujipanga kimikakati ni muhimu zaidi kuliko kelele zisizo na mashiko.

Nichelee tu kusema..endapo CDM hawatobadilika basi itakuwa ni ndoto kwa wao kuweza kuiongoza nchi hii ya Tanzania.

NB: Siasa ni mikakati na sio kubwabwaja pasipo kuwa na malengo mahususi.
Mbwa akikuzoea sana iko siku atakufuata msikitini
 
Na wewe uko ndani ya CDM? maana mambo haya yanafanywa kwa utaratibu Fulani wa ndani ambao huwezi ukosoa kama hujui vizuri ndani kuna nini, je wewe ni sehemu ya kamati kuu cdm?

CCM kwa kura za kwenye mabox kazi hipo kuwatoa Madarakani
 
Mimi nadhani sio sahihi kwa kila jambo Chadema kukurupuka na kuijibu CCM......Lugola ni CCM....na hawezi isaliti kambi yake na serikali anayoiongoza!

Lengo la Chadema kama chama pinzani wawe na sera madhubuti za kuweza kuishawisha jumuiya ya watanzania na hatimae kuwapa ridhaa ya kushika dola.

Kujipanga kimikakati ni muhimu zaidi kuliko kelele zisizo na mashiko.

Nichelee tu kusema..endapo CDM hawatobadilika basi itakuwa ni ndoto kwa wao kuweza kuiongoza nchi hii ya Tanzania.

NB: Siasa ni mikakati na sio kubwabwaja pasipo kuwa na malengo mahususi.
Hapana lazima wajibu, maana kikanuni uongo ukiachwa bila kukanushwa unakuwa ukweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe uko ndani ya CDM? maana mambo haya yanafanywa kwa utaratibu Fulani wa ndani ambao huwezi ukosoa kama hujui vizuri ndani kuna nini, je wewe ni sehemu ya kamati kuu cdm?
Hapana ndugu yangu, mimi sio Chadema . Mimi ni CCM damu, Lakini sipendezewi hata kidogo na mambo anayoyafanya Mzee baba kwa kukandamiza demokrasia, kufanya mambo kwa udikteta, na manyanyaso mengi tu ambayo anayafanya kwa watanzania.

Ni mmoja kati ya wana CCM ambao sipendi kumuimbia mapambio ya kumsifu mzee baba kwa lengo tu la kujipendekeza kwake. Ukweli lazima usemwe kuwa jamaa na serikali yake wanahusika kwa tukio hili ambalo wao wanapiga sarakasi kwa sasa.

Ndio maana nikasema, CDM itumie fursa kujijenga kimikakati ili hatimae kujiweka katika nafasi ya kushika dola hapo baadae. maana hata Lugola akijibiwa kwa maneno milioni still haitokuwa na impact yeyote kwa jamii, as long as watanzania wanajua ukweli kuwa by any means...shambulio la TL lilikuwa ni maangizo kutoka juu kwa mzee baba.
 
Mimi nadhani sio sahihi kwa kila jambo Chadema kukurupuka na kuijibu CCM......Lugola ni CCM....na hawezi isaliti kambi yake na serikali anayoiongoza!

Lengo la Chadema kama chama pinzani wawe na sera madhubuti za kuweza kuishawisha jumuiya ya watanzania na hatimae kuwapa ridhaa ya kushika dola.

Kujipanga kimikakati ni muhimu zaidi kuliko kelele zisizo na mashiko.

Nichelee tu kusema..endapo CDM hawatobadilika basi itakuwa ni ndoto kwa wao kuweza kuiongoza nchi hii ya Tanzania.

NB: Siasa ni mikakati na sio kubwabwaja pasipo kuwa na malengo mahususi.
Nawashauri CDM Popote penye upotoshwaji wajibu,hasa kipindi hiki muhimu sana.WASIKAE KIMYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish! Nonsense! stupidity of the highest order! Kwa nini wawapangie polisi jinsi ya kuanza uchunguzi wao?Polisi wanataka kuanza na lisu na Dereva wake then the case will unfold!
 
Na wewe uko ndani ya CDM? maana mambo haya yanafanywa kwa utaratibu Fulani wa ndani ambao huwezi ukosoa kama hujui vizuri ndani kuna nini, je wewe ni sehemu ya kamati kuu cdm?

Huyo ni mwanaccm ambaye anataka kuwapotosha cdm wasijibu lolote kwa faida ya ccm/serekali ili wachafuliwe na propaganda mfu na iwe rahisi kuwachafua mbele ya umma. Sasa hivi kuna watu wako huku jukwaani wanacheza mind games eti Tundu Lissu hatarudi ili asirudi kweli na ccm ipate ahueni. Kuna wengine wanasema kutokana na utendaji wa Magufuli ni bora cdm wasimsimamishe mgombea kwani hatashinda, kumbe ukweli ni kuwa wanaccm wanajua Magufuli hawezi siasa za ushindani hawataki yawatokee yaliyomtokea JK uchaguzi wa 2010 dhidi ya Dr. Slaa.
 
Hiyo mikakati haizuii wao kujibu au kutoa ufafanuzi wanapoona panapotoshwa
Mimi nadhani sio sahihi kwa kila jambo Chadema kukurupuka na kuijibu CCM......Lugola ni CCM....na hawezi isaliti kambi yake na serikali anayoiongoza!

Lengo la Chadema kama chama pinzani wawe na sera madhubuti za kuweza kuishawisha jumuiya ya watanzania na hatimae kuwapa ridhaa ya kushika dola.

Kujipanga kimikakati ni muhimu zaidi kuliko kelele zisizo na mashiko.

Nichelee tu kusema..endapo CDM hawatobadilika basi itakuwa ni ndoto kwa wao kuweza kuiongoza nchi hii ya Tanzania.

NB: Siasa ni mikakati na sio kubwabwaja pasipo kuwa na malengo mahususi.
 
Hii kesi imeshaisha ama ipo pending......

1550144011738.png
 
sasa kama amewajibu si wakae kimyaa....waridhike na hilo jibu sio kila kitu unabisha.

unajua karibu watanzania wote wenye akili wanajua ni nani mhusika mkuu wa issue ya Lisu.....hata wewe na mimi, na hata Lugola mwenyewe anajua ukweli. Lakini cha msingi cha kufahamu ni kuwa hata siku moja serikali haitokuja kukiri kuwa ile kitu ilikuwa ni maagizo ya mzee baba.

Hivyo kuepusha mijadala isiyo na tija, ni vema tu tukamuachia Mungu awajibu wanafiki....kama alivyoamua ku-mbeeep jana...ndugu yetu lameck madelu wa kwa Nchemba.

ni hayo tu ndugu yangu, but tupo pamoja .
Mtu akipotosha lazima uweke sawa! Ukiachia uongo urudiwe mara nyingi unageuka kuwa ukweli!
 
Ukitaka kuwavuruga chadema waambie wamtoe dereva wa Lissu
Wasanii hawa,huyo mkuu wa kikosi cha utesaji viongozi kigaila,angefanya la maana sana kama angetangaza kumtoa dereva ili ahojiwe
Na ukitaka kuwavuruga CCM waulize nyumba ilikua na CCTV au lah? Nani aliondoa CCTV? Walinzi walikua wapi siku ya tukio? Hahhaahhaha
 
Back
Top Bottom