Wewe ni msomi na hauna elimu.
Umefika chuo unauliza eti ukituma email siku za weekend itafika au utume workday ndio ifike.
Ujui jinsi ya kuscan document.
Wanawake wa dar wana masauti mabaya, mabase kama wanaume jumlisha na kilafudhi chao kile cha kipwani yani hadi kero.
Na tabia yao ya kupepesa macho kwa kila mwanaume.
Wakristo wenzangu, hebu acheni kubishana na hawa wana wa giza kwa kuwa walikwisha laaniwa kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu huu.
Analeta mada hapa ili waonekane wao ndio wenye hekima zaidi na wamechagua fungu lililo jema kumbe ni baya.
Watu wanaoamini katika kusaidiwa na pepo wachafu(majini)...
Mbona wainjili mathayo, luka, marko na yohana wanaitwa watakatifu. Ni nani aliyewapa huo utakatifu na bado mnatumia injili zao nyie walokole ambao hamuamini katika utakatifu
Bado ninaendelea kufuatilia comments zako za kutugawa kikabila na sio mara moja au mbili tu umekuwa ukichochea chuki za kikabila. Hata mimi ni mwanachama kindakinda wa CCM lakini kwenye ubaguzi unaouendekeza sitokuunga mkono hata kidogo.
Ubaguzi ni kama saratani, unakula kimya kimya siku...
Na wewe ni agent wa shetani. Kwanini usitumie makala kama hii kusifu uweza na utukufu wa Mungu badala yake unasifia kazi za shetani.
Kizazi cha nyoka kitataka ishara za kimungu na wala akitaona bali kitapata ishara za kishetani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.