Ww ni zezeta kweli, mbona haujasema utalii unaingiza sh ngap kwenye Pato la taifa, na vp kuhusu madini na maliasili nyingine unafikiri hizo fedha hazitumiki kujenga miundombinu ndani ya nchi?
Usiche
Huyo uncle wako keshadanganywa anataka kuwaingiza mkenge wazazi wake, wazuie haraka sana hao jamaa ni wezi me mwenyewe nineshawai pigwa na hao wezi wa mtandaoni, tena narudia tena waambie huo ni utapeli hivyo vitu vinavyoonyeshwa kama ni mafanikio ya watu waliojiunga hiyo kitu ni uongo...
Hapo ndio utajua umuhmu wa kufuata wosia, mzee alishaona kuwa huwezi kusimamia mali inabidi ukubaliane tu na uwamuzi wake, ishi nyuma ya wale wenye uwezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.