Recent content by Kashogi

  1. K

    TANZIA Kuga Peter Mziray afariki dunia Hospitali ya Rabininsia. Alikuwa mgombea urais 2010

    R.IP. Brother Kuga Mziray! You've run a tough race in life...You've Completed your Part in this World. Most importantly You placed yourself to fight and realize the wellbeing of our Society... Those who heard your voices and struggles will cherish your Humanity! May The Lord Rest Your Soul in...
  2. K

    Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    Ama kweli bashiteb ni zeroooo! anaulizwa maandazi...anajibu mmma! wajinga ni wale waliompa nafasi ya kupoteza muda na kuzungumzia utumbo wa panyaaa! ....maana huyo sidhani kama unalika!
  3. K

    Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Ombeni kabla hamjaombewa.... Hawa makasisi....wanafikiri kila mpuuuzi ana mapepo....
  4. K

    Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Nakumbuka yule ... Attorney General wa UK aliyekutwa kwa maeneo ya ...red street...Wala Mkuu hahitaji barua ya kujiuzulu...soon kutakuwa na jina jipya... life goes on!
  5. K

    Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

    Safari yetu ni ndefuuuuu....! Hata Dira ya Taifa Hatuijui.... Nchi ya zima moto! Sasa wiki kadhaa zimepita ati wakuu wa wilaya wanavuna bangi.... Aliyetusomea majina... japo yale ya faili la mwisho yakamshinda...ati kasepa... " Kuntukana mamba ungali ng'ambo hii...ni nomaaa!
  6. K

    DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

    Sijui Uhuru Wetu miaka zaidi hamsini... Tumefikia wapi??? Hakuna maji... Dawa.. Vyoo... Mahindi yanakauka shamba kwa sababu yatastawi tukimwomba Mola makanisani na Misikitini...! Nchi Nzima Inarindiima... Ati Makonda kapata msokoto nyumbani kwa Wema... Sisi nafikiri ukaribu Wetu na ngedere...
  7. K

    DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

    Sijui Uhuru Wetu miaka zaidi hamsini... Tumefikia wapi??? Hakuna maji... Dawa.. Vyoo... Mahindi yanakauka shamba kwa sababu yatastawi tukimwomba Mola makanisani na Misikitini...! Nchi Nzima Inarindiima... Ati Makonda kapata msokoto nyumbani kwa Wema... Sisi nafikiri ukaribu Wetu na ngedere...
  8. K

    Madawa ya Kulevya: Sasa Paul Makonda na Kamanda Sirro tunawapima kwa kumgusa Mtoto wa Rais na Daudi Kanyau

    Hili la makonda na misokoto ya bangi....Mhhh! waswahili wanasema... ukienda vuruga siafu.... basi ujue jinsi ya kuvua suruali....!
  9. K

    Hashimu Lundenga akana uvumi wa kujiuzulu Miss Tanzania 2014 asema si kweli

    Mtu wa kuhurumia ni Lundenga! he has been caring this beauty pageant event for years now! He has gone through queer times faced by some irregularities! Some of his products have been well successful after winning the Miss Tz Crown, some have shown some cheek melancholies! This is the Man's...
  10. K

    Kauli hii ya Mch. Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) sio ishara ya kujisahau?

    Tatizo ni ulimbukeni! Dini za ukirsto zimeanZ zama za kale wakati mababu zeru wakijicha mbuzi na ng'Ombe kwa matambiko! Hata kitu kina itwa Mungu na pamba walikua hawakijui! Leo wamejua kusoma biblia ! Wananatapeli watu ati ni maaskofu! Umaskini wetu unatusumbua saaaaaana! Anagalia wenzio...
  11. K

    Kauli hii ya Mch. Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) sio ishara ya kujisahau?

    Tatizo tunaendekeza vijiaskofu uchara na vishehe ubwabwa! Ndio ujkija kusikia mtu anadirki kuchija binaadama mwenziwe atI kwa sababu kachinja ng'ombe! Watu kama hao akina upako lwakatare na weziwe , sio wakukamatwa tuu! Bali wanatakiwa ni kupigwa viboko kwa sana waende wakawaonyeshe wake zao...
  12. K

    Ukatikaji wa umeme jiji la Mwanza

    habari za kushangaza kutoka jiji la Mwanza! Jiji lenye wakazi wengi la pili nchini ! Hivyo ni jiji lenye mwammko mkubwa katika masuala ya kisiasa!!! Cha kuchangaza ni kwamba tangu jumapili ya 23th October, umeme hukatika kunako masaa ya jioni! leo tarehe 28 pia !! Je hii ni ishara gani katika...
  13. K

    Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

    She's just a sex maniac " Wild at Heart" After all , who the hell in Tz knows bout music nowadays! U jst squeeze your nose and sing a shit out of you and you're a star!
  14. K

    Lowasa alitamka jambo hadharani ndani ya NEC je ni neno lipi ?

    Ukweli ni kwamba bw. Lowasa hakutamka neno lolote la ajabu kwenye kikao chao nyeti! Alichosema ni kunyenyekea tu mbele ya "Mkulu" na wajumbe wenzake huku akijuta na kusaga meno! maana anajua fika kwamba " hatma' yake ipo mikononi kwa hao wana CCM wa "inner circle"
Back
Top Bottom