Recent content by Kashaulo

  1. Kashaulo

    Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

    Hilo swali lako ilibidi umuulize kabla hajakuvua, walau angelijibu hata kama ni kwa uongo.... kwa sasa sahau ushaliwa. Hebu subiri kidogo, huyo unayetangaza Nampendamilele ndo yeye?
  2. Kashaulo

    TANZIA Mchekeshaji Pembe afariki dunia

    RIP classmate.
  3. Kashaulo

    Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Tatizo ni pale hupaswi kufanya zaidi ya mkuu wako, kama mkuu mwenyewe ndo huyu mweupe unatarajia nini?
  4. Kashaulo

    Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hili, neno 'EUROS' lilivyokaa tu hapo (bila curve) unaona kabisa ni la kuchora.
  5. Kashaulo

    Nadhani bado hatujamjui adui au kuna maadui zaidi ya mmoja

    Tukiongelea kutekwa mnasema tunarudia agenda, mbona mama anarudia kilemba?
  6. Kashaulo

    Watoto hawaimbi nyimbo za Sunday school na Kaswida tena, mdau alalama akitoa maoni dira ya taifa 2050

    Vitoto vidogo vinaimba "unanitakaaa, eti unanipendaaa.... basi nitongozeeee!!
  7. Kashaulo

    Ukiona siti iko wazi muda mrefu ulizia kabla hujaikali, yawezekana kuna sababu inakimbiwa ✍️

    Ni kwa sababu hana akili, ndoa ni kwa wenye akili timamu tu.
  8. Kashaulo

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

    Kibu Dee ni bonge moja la straika, bonge moja la mkandaji..... aongezwe mkataba na pesa zaidi.
  9. Kashaulo

    Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

    Kula bia mkuu achana na kusoma lebo, huiamini TBS?
  10. Kashaulo

    Serengeti Lager tunaomba logo ya zamani

    Nasemaje, Utajua wewe 🤣🤣
Back
Top Bottom