Recent content by kasharunga

  1. K

    Njama Nyuma ya KURA ZA SIRI 30

    Tatizo lilopo hata Ukawa ilikuwa ni michezo ya kuigiza tu. Ukawa ndo wamevuruga Mchakato mzima . Na hii taratibu za kususia vikao bungeni vitamaliza upinzani.Wapinzani gangamalia ukweli acha kudai haki msioijua. CCM ni wakomavu fitina wanazijua ndo maana kati ya ukawa nusu walikuwa CCM
  2. K

    Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    Makongoro hana busara anazo akili mgando.Makongoro namfahamu aliweza kufukuzwa Cadeti Monduli (JWTZ) wakati baba yake yuko madarakani.Alifukuzwa kwa sababu alilewa na kulala nje ya Chuo.Kwa kimbelembele cha Gen Musuguri alilejeshwa chuoni na kupata Uofisa eti sababu Nyerere alikuwa anavisha...
  3. K

    Sitta, Mwakyembe, Membe na Magufuli waungana mbio za urais

    Tatizo la Sita anaogopa kivuli chake.Sita mikono yake ni michafu kabisa. Taifa hili ameliangamiza kwa maovu ambaye hatutamsahau kamwe. Akiwa Spika aliunda Kamati iliyoongozwa na Mwakyembe iliyochunguza mtambo chakavu wa Richmond ambao sasa unaitwa Symbion.Kamati hiyo iliamrisha Lowasa avuliwe...
  4. K

    Mtambo chakavu uliomng'oa Lowassa kwanini bado upo nchini?

    Ni jambo la kushangaza kuona mtambo wa Richmond na sasa unaitwa Symbion bado upo nchini na unafua umeme na kuingiza umeme kwenye Grid ya Taifa baada ya kuwauzia Tanesco. Madhara ya mtambo huo ni kwamba bei ya umeme imekuwa ikipanda kila kukicha baada ya gharama za uendeshaji zinapopanda km...
  5. K

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Lowasa ni msimamizi wa mambo anayoyasadiki . Kutokana na mfumo ulivyokuwa kweli alistahili kungoka .Jambo kama lile ilitakiwa nmawaziri wote wangoke kwa kuwa kabla ya maamuzi hayajatokea baraza la mawaziri lazima libariki.Lakni fitina za makundi ndizo zilizopelekea kuchafua mchakato mzima. Wote...
  6. K

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Pamoja na makundi ya CCM kumwandama LOWASA anastahili kugombea Uraisi 2015
  7. K

    Balozi Ombeni Sefue: Nilishiriki mazishi ya Daudi Balali...

    Ni kweli swala la Balali sio issue ya kuanza kujadili. Suala ili limetumbukizwa ili wananchi waache kuchambua ambavyo ni nyeti kwa taifa. Habari zote ambazo zimeanza kujitokeza magazetini zote za kupangwa. Mashuhuda wanaojitia kwenda kuhani uko Marekani ni wa kupanngwa tu. Kuna shuhuda mmoja...
  8. K

    Gharama halisi za uandikishaji kitambulisho cha taifa mkoa wa Pwani

    Sio kweli fomu ya kuandika taarifa binafsi nziko kwenye mfumo wa vitabu na picha hazitakiwi. Utoapoandika jaribu kutoa taarifa za ukweli
  9. K

    Wabunge acheni siasa na Misamaha ya Kodi, Haikwepeki ni lazima iwepo!

    Tatizo lililopo ni uelewa mdogo wa masuala ya utaalamu wa kodi.Elimu kwanza iwaeleweshe waTZ kwanini kodi inasamehewa.Kwanza mahitaji yote ya miradi inatoka nje usiposamehe kodi watanzania watapata maendeleo? Mfano REA - Mradi wa umeme vijijini vifaa vyote vya Ujenzi vinatoka nje hata nguzo je...
  10. K

    Ufisadi wa Magufuli waanikwa wazi wazi

    Hili jambo sio la Magufuri au WM ila nila kwetu pia. Wananchi lazima waseme kama mambo yanafanyika ndivyo sivyo.Kwanza barabara imefinywa sana na kuondoa uwezekano magari kuingia yakitokea pembeni. Pili njia ya magari yaendayo kwa kasi ni nyembamba ikitokea gari ikapata itilafu basi magari yote...
  11. K

    Ufisadi mwingine waibuliwa Bungeni!

    Kabla hatujaanza kuchangia hebu tupe BOQ ya jengo hilo ( BILLS OF QUANTITES).
  12. K

    Mwakyembe: ATCL Kununua Ndege Mbili Mpya!

    Mwakyembe anatoa ahadi zisizotekerezeka ili apate umaarufu.Biashara ya ndege wataalamu wamekuwa wakishauri serikali itafute wawekezaji ndani ya nchi na nje wafanye biashara hiyo na serikali ipate kodi.Aidha ilitakiwa shirika lisiwepo ni mzigo mkubwa kwa taifa.
  13. K

    Magufuli kwa level yako ni wakati wa kuwa na "big plan Dar - Moro highway"

    Yote sawa lakini maamuzi yetu yamekuwa ya kukulupuka ambapo mwisho wa siku mipango inakuwa vichekesho.Hivi kweli wakati wa sasa kuondoa kero Jijini Dsm ni kujenga barabara kutoka Kimara hadi kivukoni kwa stahili hiyo. Moja vituo kama maghara kama havingekuwepo naamini kulikuwa na uwezekano wa...
  14. K

    Swali la Wikienda: Msingi wa Makubaliano ya Ushirikiano wa UKAWA ni nini basi?

    Ni kweli tuwe na maswali ya kuuliza na kupata majibu. Hapo awali kabla ya mchakato wa kupata katiba mpya , vyama hivi vilikuwa vinapingana kisera mpaka kufikia hatua ya kukashifiana hadharani , sasa ndoa hii imetokana na nini ? Katiba mpya ina mambo mengi (dondoo) zaidi ya 200 ambazo...
  15. K

    Tundu Lissu: Walipotelea wapi waasisi wa Muungano?

    Taifa hili lazma liwe na ukomo wa kutoa maoni .Mambo ya nchi lazma yazibitiwe.Viongozi mkiyaacha uchi watanzania wataingia barabarani.Chuki na viporo vya majeraha tumeisha zika.Tujenge TZ yetu.Hata kama twataka serikali tatu au mbili jaribuni kusemea hayo tu.Hayo machungu utnaweza kufanya nchi...
Back
Top Bottom