Recent content by kashaato

  1. K

    JamiiForums Tanzania WanaUKAWA wa Scotland mambo magumu

    Hyu jamaa vp, kama hajielewi vile. Hawa wanamsikiliza Nape sana ndo maana anatema pumba. Acheni kupotosha mambo bhana. Serikali tatu si kuvunja muungano, ni kuimirasha muungano wenye mgawanyo bora wa madaraka na rasilimali.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna magazeti ya leo?

    Tembelea miraldayo.com
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam wawataka ukawa kurudi bungeni

    Wametumwa hao, wanaudhalilisha umri wao. Kesho tutasikia wabibi wa Dar nao wametoa tamko, maana nchi hii ni full matamko
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali tatu bado zatamalaki Dodoma

    Jaman, huku kutapatapa kwa CCM, kisa wazo la serikali tatu lilikuwa la upinzani na warioba basi wameona wakikubali moja kwa moja wataonekana wameshindwa. Wajinga kweli, walishindwa nn kuboresha mapema, walipoteza siku zote za mwanzo kwa ubishi na mbwembwe zote hawana lolote hao.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kamati tano 5 bunge la katiba zakwama

    Nampenda sana Prf Tibaijuka, lakn ni dikteta, hawezI kuiongoza nchi hii
  6. K

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta: Hatuwezi kusitisha Bunge la Katiba

    Duh, Nina shaka na wasomi wetu, hata hao waliopita JKT. Sitta unatia najisi na aibu kwa taifa letu. Umejidhalilisha.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali tatu ndo suluhisho linalowezekana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Warioba na Tume yake wanaigeuza rasimu kuwa mradi binafsi

    Boko haramu wangekuwa na interest na wanaume wangekuja wamchukue nape, Kijana msaliliti wa nchi yake.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Clouds yaipotezea UKAWA

    Hayo si mawazo ya wanakigoma, ni ya watanzania kwa sababu tume ilipita kila kona ya nchi hii. Kila wilaya ilikuwa na takribani mikutano 12/bara na 22/Zanzibar. Hivyo ni maoni ya kutosha kutoka kwa watanzania. Hata kwenye kampeni za ccm hawawezi kufanya idadi kubwa ya mikutano kama iliyofanywa na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Clouds yaipotezea UKAWA

    Huyo jamaa wa Simiyu Yetu mbona kama babla, au ndo wale wachumia matumbo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Clouds yaipotezea UKAWA

    Babla binti Hamisi Kagasheki kakosa mwelekeo. Hafai kuwa mwanahabari
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Wote ni wahuni. Hawana jipya wameshtuchosha hatuwataki na hatukuwatuma hivyo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Ccm na wenzake hawana uhalali wa kubadili mawazo yetu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Nawashangaa watu wanaotetea uhalali wa bunge la katiba kubadilisha maoni yetu. Hawa wanaendeshwa na matumbo maana nao wanakula humohumo,
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sitta ajibu mapigo, kikundi kinachojiita UKAWA chabanwa

    Sitta na maccm yake wanajipalia kaa la moto. Kwa kukosa maridhiano na ukawa na wananchi hawana uhalali wa kuendelea kujadili. Warudi tu.
Back
Top Bottom