Baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kutangaza nia ya kugombea Urais, kasha kuungwa mkono wa Wabunge na wajumbe wengi wa Bunge maalum la Katiba, imezusha hofu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa, ambapo jana usiku aliwakaribisha waandishi wa habari nyumbani kwake kama njia ya kujuana na...