Ni kundi lililojengwa kimkakati.
Ni kundi lililojengwa kimkakati.
naona mmesahu kwa mshumbusho na lwaitama na walewale wahayaa wa bukobacjakuelewa umeandikaa tu "you are bluffing" hakuna chochote pumba tu..duh! hii elimu ya Tanzania hakuna kitu...Unapoandika upuuzi kama huo ambatanisha evidence basi...
Lwaitama amezidiwa na njaa baada a kustaafu kufundisha pake udsm
Just thinking aloud! Hivi mwanachama unaweza kuandaa waraka wa siri wenye mikakati ya kuuondoa uongozi wa CCM au chama kingine chochote (mfano CUF na NCCR Mageuzi) madarakani kabla ya muda rasmi wa uchaguzi wa chama halafu wakuachie tu kwa kisingizio cha demokrasia?
Lwaitama amezidiwa na njaa baada a kustaafu kufundisha pake udsm
Kama waraka ule ni halali,kwa nini Kitila Mkumbo aliomba kujiudhuru na alikili mbele ya press conference??!!
Kitila Mkumbo akiwa kama mshauri mkuu wa CHADEMA na pia mjumbe wa kamati kuu ni halali kwake kufanya mipango hii??!! Kwa kigezo cha demokrasia?!! N'a Pengine unaonaje suala la press conference ya Zitto na Kitila Mkumbo kusaidiwa na vijana wa UVCCM kama alivyokili Mwampamba na pia kufanyiwa coverage ya radio kwa gharama ya CCM(clouds fm)), inamsaidia kuondoa uakisi wake kuwa ni kibaraka na ndumi la kuwili??!!
Naamini ndugu unaweza kuyajibu Haya machache kwa kuwa ni mwanataaluma mzuri!!
naona mmesahu kwa mshumbusho na lwaitama na walewale wahayaa wa bukoba