Jk bado anapima upepo sasa Pinda kadanganya taifa alihaidi leo na leo hajazungunza lolote.
Tunawaangalia tu.
Remote ya Jk noma
Lowassa ni muwajibikaji pekee katika chama cha magamba!
Jk bado anapima upepo sasa Pinda kadanganya taifa alihaidi leo na leo hajazungunza lolote.
Tunawaangalia tu.
Remote ya Jk noma
Imefikia wakati watanzani tumekuwa vipofu kwa Rushwa na sasa tumeamua kuwa ukweli kuwa uongo na uongo kuwa kweli. Mimi binasfi sijaona maamuzi magumu aliyo fanya luwasa zaidi ya kutumia pesa zake kuiyumbisha Serekali iliyopo madarakani.mimi siamini hata kidogo eti LUWASA Leo ni mzuri kuliko Pinda au jakaya ila ninachoamini LUWASA anatumia pesa nyingi kumhujumu mwenzake ila aonekane hajafit nafasi yake