Recent content by KasenjeJr

  1. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Mbona unakimbia point ya msingi?.... Weka ushahid hapa....Kama sio kwamba umehadithiwa na shangaz yako....halaf wala hukumsikiliza vzr
  2. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Weka document hapa mbona unaleta blabla nyingi?.... Hakuna kitu kama hicho...unatuonyesha kuwa hajui hata unachokisema.... Ni ushabiki tu
  3. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Sheria ichukue mkondo wake
  4. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Maana ya biashara sio tu kupata faida... Ni pamoja na kufuata Sheria na taratibu za nchi...... mnaambiwa muweke doc kama ni kweli Mnaleta blabla..... Sheria lazima uchukue mdondo wake tu.... Wafanyakazi nchi hii kwanza ndo wanalipa Sana kodi na husikii kelele zao.... Wengine mkiguswa...
  5. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Kuna mtu alicomment vzr sana..... Watu wasome sheria za kodi vzr na marekebisho yake.....kuna namna ya kukata rufaa na watu wengi huwa inatokea wanashinda dhidi ya tra.....tujifunze taratibu sio kulalamika tu....kila kitu kipo kisheria
  6. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Kwa nn ww uzidishe?..... Unapewa nafasi ya kufanya declaration unadanganya..... Tujifunze kuwa wakweli...na ndo maana ya hizo penalty......hawa tra wa watu mnawasingizia bure tu.... Mfano unaenda dukani watu hawataki kutoa risiti.... Wakipigwa penalty wanalalamika..... Wakati machine anayo...
  7. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Hili limekaa kimajungu Sana na sidhani kama linawezekana.... kodi inatozwa kwa mujibu wa sheria, hivyo ofsa akifanya makadirio muulize ni kulingana kifungu kip cha sheria.....
  8. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Hapa naona unachotaka ni kuigombanisha tu Tra na Serikali..... Pia wanakuwaga na email yao yani huduma@tra.go.tz.....tuma madukudu yako huku...... Huwa wanafanyia kazi...... Au wapigie customer care yao 0800780078.
  9. K

    CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

    Wakati mwingine watu huituhum tu Tra kwa malengo yao binafsi..... Weka nyaraka za huyo mtu hapa wahusika waseme ni kweli au sio kweli..... maneno ya kuambiwa sio ya kutuletea hapa maana unaweza kuchonganisha taasis na serikali... ....uliona document zake?
  10. K

    TRA: Makusanyo ya Mwezi Dec 2017 yamepanda hadi trilioni 1.66 sawa na ongezeko la ukuaji wa 17.65%

    Road fine, wanakusanya traffic na ipo chini ya w/ndani hivyo sio mapato ya kikodi......Tra ipo chini ya w/fedha na inakusanya mostly tax revenues nadhan zaid y'all 95 perct....hivyo unachokiona mostly n kodi na ushuru
  11. K

    TRA: Makusanyo ya Mwezi Dec 2017 yamepanda hadi trilioni 1.66 sawa na ongezeko la ukuaji wa 17.65%

    Hongereni Sana Tra..... Hii ni nchi tajiri sana mianya ya rushwa imebanwa, misamaha imepunguzwa, wigo wa kodi umeongezeka, kuna support ya juu kutoka kwa serikali,kuna utayari wa watu kulipa kodi, mifumo ya kisasa pamoja na changamoto zake, n. K..... Mm naelewa haya maswala tena mkikazana na...
  12. K

    Jamani hili la TRA kufunga biashara yangu kwa kutokuwa na mashine ya efd's lipo sawa au ni uonevu uliopitiliza?

    ww ulipata mauzo yako yanafikia kiasi gani kwa mwaka?, au kodi unalipa kiasi gani kwa mwaka or kila installment ili tukusaidie kisheria zaidi
  13. K

    TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

    Pole sâna mkuu, Lakn weka na đemand notes yako hapo tủthibitishe kâma ni kweli... Maana hawa Tra wanâsema wamezaliwa upya... Tưwaone...kâma hutaiweka n vigumu kukuamin Sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
  14. K

    Silinde: Mapato ya TRA yameshuka hadi bilioni 700 kwa mwezi kutoka trilioni 1.5

    Watu wapo negativ tu, tra wakitoa taarifa zao ndo za kuamin,najua walikuwa wanatoa taarifa kila mwez lakn wakaamua kutoa kila baada ya miez 3. Tra n professional orgn... Wanajua figure hazidanganyi.. Hivyo n vizr kusikiliza pres yao... Najua lazma watatoa karibun...
Back
Top Bottom