hao watu wanakuwa hawaendani ndo maana hali inakuwa ivyo pia ndoa inaanzia rohoni kama rohoni unamuona huyo mume au mke ya kuwa umepewa na Mungu hapo sawa mtaona na ndoa yenu itakuwa ya baraka hapa duniani
Samahani nilikuwa nataka kujua naweza kuanza na mtaji wa shs kwenye hii biashara ya dhahabu? maana naipenda sana nataka nianze hii biashara maana naona unasema ni elimu tu hata mtaji mdogo unatosha?? naomba unisaidie
Mungu wangu inamaana kila siku utameza dawa Mwenyezi Mungu atusaidie watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa soma neno la Mungu likae sana moyoni mwako utamshinda shetani na kazi zake zote ndo ushauri wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.