Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Unataka akukodie kikundi cha kukusuta? Jiongeze basi
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Ukimpigia simu inakatika viuno
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Save hii no. ya AI, Chat nalo WhatsApp litakupa ushauri mzuri kuliko hapa +18002428478
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
umeshatemwa mrudie muumba wako ukatubu
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
UMEPIGWA!!
 
huenda ujauzito si wakwako hatak kukusumbua, tulza komwe usubir matokeo mkuu.. Kuwa na subira usiforce
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Hakika siku mpenzi wako akijamba utaleta hapa hiyo taarifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom