Recent content by Karot

  1. Karot

    Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

    Miereka inachezwa sana Pemba kaskazini kipindi cha Ramadhani... Sijui wameacha au bado wanaendelea? Ila ni hatari sana wanavunjana mpaka mikono.
  2. Karot

    Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Na ingewezekana angewapiga mpaka picha kukamilisha ripoti iliyo sahihi.
  3. Karot

    Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Itakua ana kisirani na mtaa anaoishi wamemchoka
  4. Karot

    Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    Najaribu kuangalia jinsi unavocoment nahisi unatoka mwambao wa Pwani... dar, Zanzibar, Tanga, Bagamoyo, Lindi na Mtwara nahisi humo kuna sehemu umetoka.
  5. Karot

    Je, Mungu ni muweza wa yote?

    Nawaomba Waislam hapa msichangie mtakuja kuharibu swaum zenu...
  6. Karot

    Je, Mungu ni muweza wa yote?

    Na id yako inasadifu
  7. Karot

    Niende Uganda ama Kenya

    Nenda Kenya ukajifunza Kiingereza ila mambo mengine sikushauri
  8. Karot

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Weka japo kapicha hicho unachosema kama nikweli
  9. Karot

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Riziki popote sio lazima Zanzibar usilazimishe kukaa sehemu usio na furaha
  10. Karot

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Wenzio ikikaribia Ramadhani wanatafuta boat zilipo wewe bandarini umepasahau tukuagizie boda aje akufate???
  11. Karot

    Naelekea Pemba, naombeni uzoefu wa kimazingira

    Pemba kama Pemba ni wakarim mnoo hawana mambo mengi. Vifuatavyo ni vitu ambavyo vitakusaidia ukiwa Pemba. Kabla sijakwambia vitavokusaidia naomba uniambie unaenda Pemba sehemu gani na naamini ntakusaidia hapa hapa mpaka kukamilisha vitu vyako. Au ni PM kwa msaada zaidi. 1. Kuwa mwazi...
  12. Karot

    Hivi hawa matapeli wa kwenye mitandao wanakamatwa na kupewa adhabu kweli?

    Habari za majukumu wakubwa na wadogo. Poleni na kazi na wale waliofunga kama mimi Mungu atusamehe tulipokosea ndani ya mwezi huu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi kila siku tunasikia kuna matapeli wa mitandaoni ambao wanajihusisha na wizi fedha kwa udanganyifu... Sasa nakua nikisikia...
  13. Karot

    Kwanini mkoa wa Njombe una vilima vingi?

    Kumbe umetembea mikoa mingi halafu unauliza kama mtoto
Back
Top Bottom