Recent content by Karim Karan

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bunge: Mahudhurio kwa kuheseabu ni Aibu kwa Bunge na Taifa

    Huo ni unafki wa WABUNGE WA CCM, wameona kupitisha ni aibu na kukata hawawezi wameona wakimbie, wakafanye vikao vyao vya unafki!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Picha - Kinana akinunua wanachama wapya hadharani - Kigoma

    Meno ya tembo hayo yanajenga chama!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nadhani na mimi nitapata

    Mmh.....! hapo wataona ngumu kumeza.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Nipo hapa na nina zaid ya hivyo vigezo, nitumie picha na namba zako za cm (edmundmarandu99@hotmail.com)
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Wasikabidhi Nchi kwa chama kingine?

    Alafu ile biashara ya MENO YA TEMBO itakuaje? au unataka wakina kinana na wezake waandamane nn.....!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ccm hadi kwenye treni????

    Watafanyeje sasa wakati nan amewanyima basi zake, yule wa pale Kwa shabiby bus....! wenyewe wanazuga wameamua wenyewe!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ccm walalamika kutokuwa na kazi huku chama kikiwatumia katika kazi zake.

    Ajira si anazo KINANA au ajawataarifu....! Biashara yake ya meno ya TEMBO inahitaj vijana wengi sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Katika hili, siwaungi mkono wabunge wa upinzani

    Wee mtoto wa fisad acha kutupumbaza hapa.........!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa mwanachama wa chama chako cha siasa?

    Ni ujasiri wa viongoz wangu wa CHADEMA!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere awakemea makada wa CCM Musoma mjini

    Tatizo ccm imejaa vilaza tupu!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuipenda CHADEMA mpaka itueleze mambo matatu

    Hukumpenda mama aliyekubeba tumbon miezi tisa, utaipenda chadema? wee gamba vip......!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya NSSF kwa wanachama wake ni usaniii mtupu, haiwezekaniiii

    ww mweu nn? andika kitu kieleweke......!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Tendwa wanachofanya CHADEMA ndiyo matumizi sahihi ya ruzuku?

    "mpumbavu mjibu kutokana na umbumbu wake" Yaan kwa sasa wananchi wanataka kusikia baba zako wamekamatwa tena mkaanze na kinana muuza meno ya tembo!!! Dr.slaa ni jembe na mtaumia sana au ulitaka aende kukopa CCM?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ akamatwa na pembe za ndovu

    Tuwaone sasa wanaojiita usalama wa CCM, os sorry wa taifa wakamtoe na huyo KUCHA na JINO, awaseme kina kinana na wezake!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sijamwamini SLAA..

    Yaan ccm bhana kila mada ni Dr.slaa nini kinachowaumiza xana? wapelekeen wanavijiji maji bdl ya kuwahonga kina mwampamba na wezake wakichafue CHADEMA, mtambue kuwa sasa hakuna wakuwapumbaza na AMAN huku hana hata uhakika wa kula,,,
Back
Top Bottom