Habari za kazi mimi ni mwananchi ninaeishi katika kijiji cha MUSASA kata ya makurugusi wilaya ya Chato mkoa wa Geita.
Malamiko yangu ni kwamba hapa kijiji cha Musasa kumegeuka mgodi wa Dhahabu wa wachimbaji wadogo tatizo langu sio mgodi wa dhahabu tatizo ni wizi wa mapato ya serikali ya kijiji...
wewe ni mpenzi wa yanga ni mmoja ya wale watu waliokuwa wanazomea taifa wakati kilimanjaro ikicheza sasa ubaya unalipwa hapa hapa duniani ....zamareki ndio watakao watia adabu ya kujua uzalendo ni kitu katika iliyonyuma kimpira kama yetu,
wakakae meza moja na rostam,chenge na rowasa hao ndio wenye dowans waiache chadema na harakati za ukombozi wa nchi hii maana tusipoonyesha msimamo katika hili watoto zetu watakuja kutucheka na kutushangaa na cc kama tulikuwa na akili timamu za kufikili ,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.