Habari ya mwendokasi inaingiaje hapa. Mie sio level yako na usiniquote tena. Mie nilimuuliza britanica sio wewe. Usiingilie yasiyokuhusu tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongera yako wewe mwenye passport. Watu wasiojielewa utawajua tu. Mambo ya chato na passport yanaingiaje hapa. Kama hujui ziba domo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Stages of love
1. Kupenda (excitement ) Yaani hapa mtu huwa unachanganyikwa kabisa.
2. Fear. Yaani hapa ndo pale mwanamke akiwa Karibu na wewe unatetemeka. Hapo ndio kwenye udhaifu wako. Unatakiwa kushinda hii stage.
3. Acceptance. Hapa unaanza kukubaliana na matokeo. Sasa matokeo yanaweza...
Bei ya gas unajuwa wewe. Gharama ya kuzalisha umeme na maji Vs Gas Bora maji. Kutumia gas ni kujitengenezea mazingira ya unasikini kwa taifa letu!
Sent using Jamii Forums mobile app
China na marekani wanazalisha hewa chafu inasafishwa huku na south america kwasababu ndiko kwenye miti. Lakini mataifa hayo ndo yenye uchumi imara. Bora na sisi tuchafue mwishowasiku tutajua tunaishi vipi. Hatuwezi kuwa omba omba milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasoma upepo. Ataibuka na majibu ya kuunga mkono jitihada za assad kulinda kura za 2020[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.