Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

Ndege ya Ethiopian Airline imeanguka dakika tano baada ya kupaa angani ikitokea Bole International Airport kuelekea Nairobi.
Ndege hiyo ilikuwa na abiria 149 na crew 8.
Pole kwa familia zilizo adhiriwa.
 
Why mkuu. tupe ABCs
Ndege zao nyingi hazifanyiwi services vya kutosha,

Wana ndege chache sana ukilinganisha na mashirika kama Emirates na wengine kama Qatar airways,japo kwa Afrika wanaongoza ila ndege zao idadi si kama nilizotaja hapo juu lakin nao wanataka kushindana nao kwenye routes zao, ionekane nao wameteka anga, hivo ndege zao hazipati Muda wa kufanyiwa services vya kutosha, unakuta let say wana ndege 50 wanataka wapige routes 1000 kama wale wenye ndege 200

Pili wana overload ndege zao maana zimekuwa bila utaratibu wa kudhibiti mizigo kama wengine,

Britannica
 
The Office of the PM, on behalf of the Government and people of Ethiopia, would like to express it’s deepest condolences to the families of those that have lost their loved ones on Ethiopian Airlines Boeing 737 on regular scheduled flight to Nairobi, Kenya this morning.

The plane is believed to have 149 passengers and 8 crew on board. The plane was brand new delivered four months ago. May the departed Souls Rest In Peace.

IMG_20190310_120633.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom