Namna ya kuacha u domo zege

Nikiwa karibu na mtoto wa kike hua domo linakuwa zito

Sent using Jamii Forums mobile app
1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!

2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!

3;Kuonga kupita kiasi

4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.

N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa! Nimepatia??
 
Namba 1 na 3 izo zinanihusu, kwanini usinipe madini Katoto kazuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Be comfortable alone. You don't have to try to act cool or be a try hard; just be loose. ...
  2. Help someone. ...
  3. Approach tons of girls on a consistent basis. ...
  4. Avoid being afraid to fail. ...
  5. Avoid giving yourself time to make excuses. ...
  6. Keep having fun. ...
  7. Be yourself to the extreme. ...
  8. Network
 
Asante ila tatizo mimi na kimombo sio marafiki labda unge try ku translatigi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stages of love

1. Kupenda (excitement ) Yaani hapa mtu huwa unachanganyikwa kabisa.

2. Fear. Yaani hapa ndo pale mwanamke akiwa Karibu na wewe unatetemeka. Hapo ndio kwenye udhaifu wako. Unatakiwa kushinda hii stage.

3. Acceptance. Hapa unaanza kukubaliana na matokeo. Sasa matokeo yanaweza kuwa hasi au chanya. Majibu hasi ni pale binti amegoma na wewe ukakubaliana naye. Lazima utaanza kumchukia huyo binti na kumwona kiumbe katili.

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom