Recent content by Kapyarupyaru

  1. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Dar Moshi kwa Boxer bm 150

    Hapana,kikubwa ni protective gear tu,awe na helmet ya ukweli yenye kioo na nguo itakayokinga kifua!
  2. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Ombi: Stendi ya Msamvu Morogoro iwekwe sehemu ya kupumzika abiria

    Hii stendi angalau inamuonekano mzuri kuliko ile inayojiita ya kimataifa pale Ubungo, shida kubwa katika kituo hiki cha Msamvu ni sehemu ya kumpumzikia abiria wakati wakisubiri usafiri, yaani abiria wanakaa chini kwenye ngazi au korido pamoja na kazi nzuri ilofanyika hili nalo lapaswa kuzingatiwa.
  3. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Kiswahili wa BABA YETU (gospel) wakonga nyoyo za wakazi wa Dubai Uarabuni

    Aaah!mie za mafundisho ya kiislamu labda ya Sheikh Kipozeo tu baas!
  4. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Tigo na vigauni vyao mlimani city!!

    Halafu utakuta ni vidada virembo tu mpk najiulizaga ivi huwa wanalipwa sh ngapi wale?!
  5. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uke mdogo ni ugonjwa au maumbile tu?

    Hyo ni kama sisi wenye vibamia tu mkuu usitie shaka,kama inaingia kwa shida tumia ky ndo kazi yake hapo ati!!
  6. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Najuta kuingia katika mahusiano ya mama mtu mzima

    Mkuu sikiliza,mimi huwa nawapatiaga sana hao,kama kweli unamaanisha ulichoandika nitumie namba yake chemba halafu uone kama atakufuata tena!NOTE:kama ni tegemezi ishia hapo hapo nshachoka kuhonga mie
  7. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Hii kitu sikuwa najua

    Mwanaume ,ukiona dushelele lako halisimami nganganga mpaka linyonywe ujue una upungufu wa nguvu za kiume!!
  8. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Tourism Board tumewaona Sunderland, Big up!!

    Haya yanaitwa mahaba
  9. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Nimepiga vigelegele na kushangilia baada ya mume wangu mtarajiwa kupunguzwa kazini! Oh halleluyah!

    Kama ataendelea kuzingua mama njoo kwangu tuendeleze maisha!
  10. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Nimemwendea mke wangu kwa mganga!

    Kudadadek!nakupongeza sana mkuu haiwezkani kila siku tulogwe sisi tu!!
  11. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Umeshawahi kuwa mwanaume ukaona kuwa kuchepuka ni kujiendekeza na ni ujinga?!
  12. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Hapa si unakuta wengine huwa tunawadanganya kuwa hatujaoa kumbe tuna ndoa zetu!Kuna wengine akija kugundua kuwa una mke anaachana na wewe hasa kama ulikuwa unampa hela mbuzi,kama ulikuwa unamuhonga mijihela mingi hata akijua una mke hatoachia ngazi ng'o!!!
  13. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Umeona eenh?!kwa iyo ishu hapa ni wanaume kutooa ili kusiwe na kitu kinachoitwa mchepuko,utakuwa unajigongea tu!
  14. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Wine mbwembwe tu......

    Asikudanganye mtu eti wine inasaidia digestion,aah!wapi kitu SHARUBATI YA UKWAJU,hata ukipata constipation ngumu kiwango cha lami italainika tu kudadadaek[emoji270] [emoji270]
  15. Kapyarupyaru

    JamiiForums Tanzania Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

    Kwani wewe umeshachunguza wangapi?tuanzie hapo kwanza then ntakupa jibu mujarabu
Back
Top Bottom