Nimemwendea mke wangu kwa mganga!

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
Habarini wanajamvi!

Najua wengi kichwa cha habari kitawashtua maana mara nyingi au imekuwa mazoea kusikia wanawake tu ndio huwaendea waume zao kwa waganga kwa sababu mbalimbali wanazojua wao!

Mimi yamenikuta na uamuzi niliouchukua kumwendea kwa mganga hata sijutii!
kwa hali ilipofikia sikuwa na jinsi zaidi ya kumuendea huko maana ndio mwisho wangu wa kufikiria ulipofikia.

Nilishaleta uzi hapa kumuhusu huyu mke "MKE WANGU ANASHINDANA KILA KITU NA MIMI"nisiwachoshe kusoma sitaki uzi uwe mrefu kama gazeti la MZALENDO!

Huyu mwanamke alinisumbua sana ilifikie hadi kunitoroka karibu wiki nzima na ukichukulia nampenda!nikafanya maamuzi magumu nikamwendea pangani
niliporudi nyumbani nikamchomea hiyo dawa na kunuiza chumbani hapo mkumbuke nishamfata kwa shangazi yake zaidi ya mara 5 arudi hataki!nilipomaliza kunuia tu mtoto huyu hapa hajachana hata nywele kaja kama amekimbizwa
kidogo mimi nikimbie nimwachie chumba ila nikajikaza!kuna dawa ingine nilipewa ya kupaka kichwa kidogo unachanganya na asali na manuizi wakati kuduu naona mafanikio mtoto karudi anashinda tu hapo nyumbani.
 
Duh! Hongera ila ujue hiyo inaitwa 'short term solution for a long term problem'...
Kulikuwa na wana ndoa wenye matatizo kama ya kwako, lakini baada ya kukaa nao chini na kuwapa canceling sasa ndoa zao zinaendelea vyema na wana furaha na amani tele tele... Njia fupi huwa pia zina 'changamoto' zake ujue...
 
Dah! Kazi kweli kweli! Hongera kwa kuokoa ndoa yako na huyo ndondocha wako.

Habarini wanajamvi!

Najua wengi kichwa cha habari kitawashtua maana mara nyingi au imekuwa mazoea kusikia wanawake tu ndio huwaendea waume zao kwa waganga kwa sababu mbalimbali wanazojua wao!

Mimi yamenikuta na uamuzi niliouchukua kumwendea kwa mganga hata sijutii!
kwa hali ilipofikia sikuwa na jinsi zaidi ya kumuendea huko maana ndio mwisho wangu wa kufikiria ulipofikia.

Nilishaleta uzi hapa kumuhusu huyu mke "MKE WANGU ANASHINDANA KILA KITU NA MIMI"nisiwachoshe kusoma sitaki uzi uwe mrefu kama gazeti la MZALENDO!

Huyu mwanamke alinisumbua sana ilifikie hadi kunitoroka karibu wiki nzima na ukichukulia nampenda!nikafanya maamuzi magumu nikamwendea pangani
niliporudi nyumbani nikamchomea hiyo dawa na kunuiza chumbani hapo mkumbuke nishamfata kwa shangazi yake zaidi ya mara 5 arudi hataki!nilipomaliza kunuia tu mtoto huyu hapa hajachana hata nywele kaja kama amekimbizwa
kidogo mimi nikimbie nimwachie chumba ila nikajikaza!kuna dawa ingine nilipewa ya kupaka kichwa kidogo unachanganya na asali na manuizi wakati kuduu naona mafanikio mtoto karudi anashinda tu hapo nyumbani.
 
Habarini wanajamvi!

Najua wengi kichwa cha habari kitawashtua maana mara nyingi au imekuwa mazoea kusikia wanawake tu ndio huwaendea waume zao kwa waganga kwa sababu mbalimbali wanazojua wao!

Mimi yamenikuta na uamuzi niliouchukua kumwendea kwa mganga hata sijutii!
kwa hali ilipofikia sikuwa na jinsi zaidi ya kumuendea huko maana ndio mwisho wangu wa kufikiria ulipofikia.

Nilishaleta uzi hapa kumuhusu huyu mke "MKE WANGU ANASHINDANA KILA KITU NA MIMI"nisiwachoshe kusoma sitaki uzi uwe mrefu kama gazeti la MZALENDO!

Huyu mwanamke alinisumbua sana ilifikie hadi kunitoroka karibu wiki nzima na ukichukulia nampenda!nikafanya maamuzi magumu nikamwendea pangani
niliporudi nyumbani nikamchomea hiyo dawa na kunuiza chumbani hapo mkumbuke nishamfata kwa shangazi yake zaidi ya mara 5 arudi hataki!nilipomaliza kunuia tu mtoto huyu hapa hajachana hata nywele kaja kama amekimbizwa
kidogo mimi nikimbie nimwachie chumba ila nikajikaza!kuna dawa ingine nilipewa ya kupaka kichwa kidogo unachanganya na asali na manuizi wakati kuduu naona mafanikio mtoto karudi anashinda tu hapo nyumbani.
Kudadadek!nakupongeza sana mkuu haiwezkani kila siku tulogwe sisi tu!!
 
aisee huyo mganga c atusaidie tufanikishe na ule mpango wetu wa viwanda
 
Mtu anayeamini haya makitu unaenda kwa mganga eti umfunge fulani nao ni uzuzu wa kiwango cha juu kabisa.

Jifunze kuishi maisha huru mbona haya mambo tabu sana kwanini mnayakumbatia sana?
 
Back
Top Bottom