Recent content by Kapwela

  1. K

    Iyunga, Mbeya: Ajali ya gari la Polisi (FFU)! Wawili wafariki dunia na tisa wajeruhiwa

    Hivi ni kanuni kuwa gari la polisi liwe linaenda kwa mwendo kasi hata kwa shughuli ambazo sio za dharura?maana kuwapeleka polisi lindo sidhani kama ni dharura. Ajali nyingi za magari ya polisi usababishwa na hili.
  2. K

    Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Unaweza kutopenda anachoandika Mzee Mohamed Said lakini kama una uadilifu wa kitaaluma hutakosa kukubali ubobezi wake wa historia ya Pwani ya Tanganyika na Zanzibar.
  3. K

    SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

    Kauli zingine kuwa makini nazo sana, kusema " nyie Watanzania ni wavivu" ni lugha mbaya sana. Maisha yakiishakuwa mtego umpata aliyepo na asiyekuwepo.
  4. K

    SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

    Mwenzenu anakula fees tu, so laki 2 kwa watu 100 hiyo Million 20 tayari. Biashara nzuri si haba!
  5. K

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Katika ushahidi wote, huu ndio upo serious.Atamharibia hata hiyo aliyemsaidia.
  6. K

    Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Kwani kuna tatizo gani kwenda BOT kama kitu kipo legity?
  7. K

    Kubenea: Lowassa ameonesha njia

    Kubenea kaeleza jambo muhimu sana.
  8. K

    BoT yaomba radhi: Ni baada ya kukosea na kusema Milioni 300 badala ya Bilioni 300

    Mpaka mmenipotezea muda kumtafuta hiyo Dr wa wapi. https://www.google.com/search?ei=An9QWvndNImOU_24v-AE&q=Dkt+Johannes+Mlundwa&oq=Dkt+Johannes+Mlundwa&gs_l=mobile-gws-serp.12..35i39k1.2166.2166.0.2931.1.1.0.0.0.0.363.363.3-1.1.0....0...1.1j4.64.mobile-gws-serp..0.1.362....0.Sri-o8XpOWg Naona...
  9. K

    Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Ni vizuri kumjua huyo Musa kwanza ni nani. Musa alikuwa kiongozi wa Wana wa Israel na Mwanzilishi kwa maelekezo ya Mungu wa utaratibu wa sheria za Ibada ya Wana wa Israel, Dini inayoitwa leo ya Kiyahudi, Judaism. Kiebrania anaitwa Moshe Rabbeinu maana yake Moshe Our Rabbi(Musa Mwalimu Wetu wa...
  10. K

    Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Tofauti ya Ukristo na Uyahudi ni juu ya Kristo aka Masiha Mpakwa Mafuta wa Bwana, shina la Daudi. Wayahudi bado wanamsubiri Kristo aje ili wamfuate wakati Wakristo wanaamini Kristo aliishakuja na jina lake ni YESU. Ndio tofauti kubwa na ya msingi. Katika Ukristo inaelezwa Kristo Yesu...
  11. K

    Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Yohana 4:22:Yesu alisema... 22 Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi. Marko 15: 12 Pilato akajibu tena akawaambia, Basi nimtendeje huyu mnayemnena kuwa ni mfalme wa Wayahudi? 13 Wakapiga kelele tena, Msulibishe. Yohana 1:38 Yesu aligeuka...
  12. K

    Barua ya Wazi Kwa Askofu Kakobe. Wafalme Hawakosolewi

    Luka 13:31-32: 31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua. 32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
  13. K

    Kwanini Makao Makuu ya Kanisa Katoliki yasihamie JERUSALEM(Israel)?

    Wakati wote wa Mitume, Makao Makuu ya Ukristo yalikuwa Yerusalem. 1 Wakorintho 16: 1 Kwa habari ya ile changizo kwa ajili ya watakatifu, kama vile nilivyoamuru makanisa ya Galatia, nanyi fanyeni vivyo. 2 Siku ya kwanza ya juma kila mtu kwenu na aweke akiba kwake, kwa kadiri ya kufanikiwa...
Back
Top Bottom