Recent content by Kapwani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

    Ni vigumu sana kuwaelewa watu hawa, japo wao mara zote hufikiri kuwa tunawaelewa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    Wa Wajidhibiti wenyewe kwanza......
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Eti waliona masanduku yenye kura zilizopigwa.......hivi hii inaingia akilini? walionaje? hivi kwanini mnawashawishi watu mambo yasiyo na maana na kuwatuma kufanya vurugu ilihali nyie mmekaa na familia zenu mnaangalia TV? Inasikitisha sana sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Kila mwenye ufahamu anaamini hili. Asante sana Mwanakijiji kwa uchambuzi makini na sahihi na uliokuja kwa wakati.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Hata mwalimu nyerere alipigania kuingia ikulu wakati wa uhuru....kupigania kuingia ikulu si si dhambi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Yeye slaa na mkewe Rose Kamili walipokelewwa na kulamba nafasi za uongozi kwa njia hii hii....kuna wana chadema waliokuwa huko majimboni na walistahili lakini joto la siasa lilikuwa juu kwa upande wao wakapitishwa...leo ndio wanaona ni maajab kumpisha mtu.....idiot
  7. K

    JamiiForums Tanzania Swali kwa CHADEMA: Tuko Tayari Kumpokea Lowassa na Kumpoteza Slaa?

    'What goes around always comes around' Lowasa amepokelewa kama Slaa alivyopokelewa baada ya KUBWAGWA na Dr. QURO na CCM...kwa hiyo avumilie tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu nafasi yangu na kujivua uwanachama wa chama cha CHADEMA

    Weee unautangazia uma au Umma?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu nafasi yangu na kujivua uwanachama wa chama cha CHADEMA

    Chadema.....kwanini mna viongozi wabovu hivi..teueni watu wa maana basi khaaaaa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwandosya atangaza nia kiaina!

    Sasa huyu ndiy0 mgombea........2005 aliingia top 3..ametulia sana alinifurahisha alipochangia bungeni mjadala wa escrow..hakugugumia kusema alichokiamini hata kama alijua mabosi wake hawakubaliani nacho! kila la heri Mark Mwandosya (PhD)
  11. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona ubalozi wa Tz UAE yamenishangaza

    weka picha ya wahindi hao
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Maria Sarungi, unaitendea haki elimu yako!

    Damu ya kizungu haiongopi......
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tatizo m'damu haridhiki. Elimu na uwezo uzingatiwe.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

    alteza sh ngapi? mmmh mix with yours
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wanamgambo wa kikristu wauaji

    Mungu apishie mbali tanganyika mix with yours
Back
Top Bottom