Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Marshal arts ndiyo nini?
 
Unamaanisha nini? Kwamba ukiwa mnene huwezi fanya martial arts au ukifanya martial arts huwezi kunenepa?

Kuna 'mwanangu' alikuwa akinifundisha hizo mambo miaka ya 2000 mwanzoni, kwa sasa ni komando wa jeshi. Huyu jamaa ni bonge kabla hajawa soldier na sasa bado ni bonge.

Nilikutana naye kipindi flani hapa nyuma, nikamtania kwa mwili huu we ni 'komando hewa', kuna tukio alilifanya pale mbele ya watu kila mtu akabaki mdomo wazi. Jamaa ni bonge ila ni mwepesi kuliko 'vimbaumbau'.
Mwambie pia, yule mlinzi wa Magufuli yule wa usalama asimwone bonge, anapiga hatarii..
 
Wapo ma sensey kibao vibonge,

Back
Top Bottom