Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

A Strong Nation comes from the Strong Constitution. A weak constitution gives a weak nation. Now that we have Bunge la Katiba ambalo limeelekea mlango wa Kisiasa hata wajumbe walioteuliwa wameelekea ki-siasa, we are likely to get a weak constitution and we will have a weak nation.

Hata Kingune na Paul Kimiti ni wawakilishi wa NGO? Shame:embarassed2:
 
Ibara ya 113 ibara ndogo ya 3 ibadilishwe, badala ya kusomeka "katika kila jimbo la uchaguzi kutakuwa na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya mwanamke na moja kwa ajili ya mwanamme", badala yake isomeke kuwa "Katika kila jimbo la uchaguzi kutakuwa na nafasi moja ya ubunge nafasi moja ya ubunge, na mbunge atachaguliwa bila kuzingatia jinsia yoyote"

Fursa zimeshatolewa kwa wanawake kushindania nafasi za ubunge, hivyo hakuna haja ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge kutafuta balance
 
Ipo wapi tanzania pwani ? Maana tunaona tanzania visiwani na tanzania bara .... Pwani sio bara wala sio visiwa ....pwani ni pwani.tu na wenyewe tupo...wabunge wa pwani na waswahili sasa amkeni tujikomboe.kutoka kwa wakoloni hawa tujitambue hawa ni wabaya zaidi kuliko watangulizi wao
 
Sikubaliani na huu mfumo wa wabunge kuwa kila jimbo liwe na mwanamke na mwanaume kwa nini tufanye hivyo kwani tunachagua wanandoa? basi kama ni hivyo basi tuchague mbunge mmoja tu kama ni mwanaume aende bungeni na mke wake au kama ni mwanamke aende na mme wake tofauti na hapo mi napendekeza tuchague wabunge bila kujali jinsia zao bali tuwachague kwa utendaji wao bila kujali kama ni mwanamke au mwanaume
 
Back
Top Bottom