Hongera Maria Sarungi, unaitendea haki elimu yako!

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,305
Reaction score
2,564
Kama kuna Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba ambao nimetokea kuwakubali sana hivi sasa basi Maria Sarungi ni mmoja wao.

Sio siri leo ndiyo mara yangu ya kwanza kumsikia dada huyu akitema cheche pale bungeni.

Kilichonivutia kuhusu huyu Lady kwanza kabisa ni ujasiri wake wakati anaelezea kile anachokiamini, pili ni ule uwezo wake wa kujenga na kuiwasilisha hoja yake vizuri.

Maria Sarungi ana mengi ya kuvutia kama mwanasiasa anayeinukia na mimi nimeanza kumtupia jicho la karibu kwa maana nimeanza kuona dalili za Condoleezza Rice wa Tanzania in Maria Sarungi.

She looks funky, beautiful, intelligent and tough just like Condie Rice is. I can see a bright future in her.

Keep it up Maria Sarungi, Our Condie Rice.
 
....

...Heshima mingi kwako Dada salute wewe !!!

MariaSarungi1.jpg
 
Baadhi ya Watanzania bana,

Mtu akishaibuka na kusema maneno mawili matatu utawasikia tayari wanaanza kumfananisha na kila aina ya binadamu huku wengine wakitaka hata awe Rais wa nchi. Yaani sisi tunaingia kwenye mkenge wa utapeli kwa urahisi kweli. Sijui kwa sababu thinking capacity yetu ni ndogo au kipimio cha kisiasa nchini ni kidogo!. Majanga kweli kweli.

Hata mzee wa vikombe kule Loliondo alipoibuka, kuna watu kwa maelfu kama siyo mamilioni walisema ameoteshwa na Mungu kuisaidia jamii katika uponaji wa magonjwa mbali mbali. Kilichotokea kila mtu mwenye upeo mpana anafahamu!.

Kwa sasa huyu Maria Sarungi anawekwa katika mizani iliyo sawa na Condoleezza Rice!. Duh!
 
The first impression remains. Nadhani ni utabiri tu, but huyu mdada ni mzuri kujenga hoja. Nilitamani awe CCM
 
Kasema nini? manake naona sifa zake tu but yalomletea sifa hizo wala hatuzioni. Ni hoja ipi ameiongelea?

Tatizo mnadhani kila mtu anaangalia tv muda wote!
 
Inaelekea jamaa amechanganyikiwa na uzuri akasahu kusikiliza alichokisema.
 
The first impression remains. Nadhani ni utabiri tu, but huyu mdada ni mzuri kujenga hoja. Nilitamani awe CCM
Hata mzee wetu wa Loliondo na yeye first impression yake ilikuwa ni "kiboko" na kikubwa zaidi, mzee wetu hakuishia kwenye first impression pekee, bali alienda mbali zaidi, mpaka wananchi kwa maelfu wakajipanga foleni kupata "miujiza" ya uponyaji

Yaani first impression inamfanya kuwekwa katika mizani ya Former US Secretary of State, Condoleezza Rice. Wajameni hebu tuwe serious angalau kidogo!.
 
Huyu Dada anaweza leta mabadiliko makubwa.
Ila asiwe kigeu geu baadae!!
 
Hata mzee wetu wa Loliondo na yeye first impression yake ilikuwa ni "kiboko" na kikubwa zaidi, mzee wetu hakuishia kwenye first impression pekee, bali alienda mbali zaidi, mpaka wananchi kwa maelfu wakajipanga foleni kupata "miujiza" ya uponyaji

Yaani first impression inamfanya kuwekwa katika mizani ya Former US Secretary of State, Condoleezza Rice. Wajameni hebu tuwe serious angalau kidogo!.

Mkuu,

Bado nakusoma kwa makini na nakufuatiza hizi dose zako kwa hawa jamaa zetu!

Nakubaliana na mangi mno usemayo!

Kama tungepata japo Watanganyika million moja tu wenye fikra na mitazamo kama yako Mkuu...basi hii nchi ingalikua mbali mno kwa sasa!? Daah!

Nakutakia jioni njema!

Ahsanta.
 
Wee mnyamwezi vp? Mbona kawaida, wanatengenezwa!
Hata mzee wetu wa Loliondo na yeye first impression yake ilikuwa ni "kiboko" na kikubwa zaidi, mzee wetu hakuishia kwenye first impression pekee, bali alienda mbali zaidi, mpaka wananchi kwa maelfu wakajipanga foleni kupata "miujiza" ya uponyaji

Yaani first impression inamfanya kuwekwa katika mizani ya Former US Secretary of State, Condoleezza Rice. Wajameni hebu tuwe serious angalau kidogo!.
 
Baadhi ya Watanzania bana,

Mtu akishaibuka na kusema maneno mawili matatu utawasikia tayari wanaanza kumfananisha na kila aina ya binadamu huku wengine wakitaka hata awe Rais wa nchi. Yaani sisi tunaingia kwenye mkenge wa utapeli kwa urahisi kweli. Sijui kwa sababu thinking capacity yetu ni ndogo au kipimio cha kisiasa nchini ni kidogo!. Majanga kweli kweli.

Hata mzee wa vikombe kule Loliondo alipoibuka, kuna watu kwa maelfu kama siyo mamilioni walisema ameoteshwa na Mungu kuisaidia jamii katika uponaji wa magonjwa mbali mbali. Kilichotokea kila mtu mwenye upeo mpana anafahamu!.

Kwa sasa huyu Maria Sarungi anawekwa katika mizani iliyo sawa na Condoleezza Rice!. Duh!

Umesomeka Mkuu Ng'wamapalala!

Endelea kumwaga dose tu!

Duuh! Wee mtu unatisha...hoja zako zoote zinagonga kumoyo!

Shukran Kaka!
 
Maria Sarungi ni mfano wa kuigwa na vijana wengi ndani ya BLK, sio kama January Makamba. Mchango wa Makamba umesikitisha sana. Nilienda kukaa na kusikiliza bunge kwenye mgahawa kinondoni ili nisikie maoni ya wananchi, kwa kweli January Makamba amewashangaza vijana wengi sana na hoja zake rojorojo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Alisemaje mkuu? Maana wengine hatukua karibu na tv
 
Back
Top Bottom