Recent content by KAPURO

  1. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Pole Sana wafiwa. Mungu Wetu ni Mungu WA rehema. R. I. P Marehemu wote Amen
  2. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimeambiwa kuna biashara nzuri ya Maharage na Dagaa Nyasa kutoka Tanzania huko Afrika ya Kusini

    Habari wapendwa kuna mtu kaniambia kuna biashara nzuri ya maharege na Dagaa Nyasa kutoka Tanzania huko Africa ya Kusini. Mwenye kufahamu kwa kina naomba atupe ABC zake hapa
  3. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi, biashara gani inalipa kutoka Tanzania kwenda Malawi na Zambia?

    Vipi nikipeleka Dagaa Nyasa huko Zambia?
  4. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Tanzania U17 (Serengeti Boys) Mabingwa wa kombe la CECAFA U17

    Hongera Vijana
  5. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Usalama wa Taifa msihangaike nami. Adai kuna kiongozi kavaa hirizi!

    HAKUNA kuna aliwyeweza na nguvu za mungu akashinda. Nawakumbusha wanaomdhihaki kakobe na Sawa na kumdhihaki mungu. Tazama walichofanyiwa jeshi la Farao pale habarini, Kumbukeni kikichomkuta Balaam na punda wake n. K
  6. KAPURO

  7. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Letters from a Nairobi Hospital Bed

    Good is great
  8. KAPURO

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Mfalme juha bado anatafuta roho za watu, mungu atajibu
  9. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Malaki 3:5 [5]Nami nitawakaribieni ili kuhukumu; nami nitakuwa shahidi mwepesi juu ya wachawi, na juu ya wazinzi, na juu yao waapao kwa uongo; na juu yao wamwoneao mwenye kuajiriwa, kwa ajili ya mshahara wake, wamwoneao mjane na yatima, na kumpotosha mgeni asipate haki yake, wala hawaniogopi...
  10. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Malaki 3:5 [5]Nami nitawakaribieni ili kuhukumu; nami nitakuwa shahidi mwepesi juu ya wachawi, na juu ya wazinzi, na juu yao waapao kwa uongo; na juu yao wamwoneao mwenye kuajiriwa, kwa ajili ya mshahara wake, wamwoneao mjane na yatima, na kumpotosha mgeni asipate haki yake, wala hawaniogopi...
  11. KAPURO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

    Unahitaji maombi ya kuvunja maagano ya vizazi na madhabahu za Giza.
  12. KAPURO

    JamiiForums Tanzania Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

    Ahaaaaa, we kweli mtumishi wa Goliath.
Back
Top Bottom