Recent content by kapumbiti kapumye

  1. kapumbiti kapumye

    Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

    Suala mtambuka sana hili... Sehemu mkuu yuko sawa sehemu nyingine anaharibu kabisa.. Hapo anapotakiwa athibitishe kipimo kilichotumika kuonesha kupungua kwa maambukizi kama ni kile fake au amepata kingine? Kutokutangaza WAHADHIRIKA wa COVID-19 hakumaanishi umetatua tatizo......
  2. kapumbiti kapumye

    Prof. Palamagamba Kabudi, mtaalamu wa sheria Afrika na duniani

    huu uzi huu... unaishi hata kesho.. Pitia comments za watu kipindi hicho :p:p
  3. kapumbiti kapumye

    Nimejikuta tu nipo na muuza nguo za ndani kitandani

    :oops: amejipalia mkaa bwana mdogo huyu.... ila hii story ni cooked
  4. kapumbiti kapumye

    Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

    Atakayeelewa atakua ameelewa na mie
  5. kapumbiti kapumye

    Soma hii kama una bahati mama yako mzazi bado yuko hai

    Mama ni Mmoja tu duniani... hawa wengine unaweza ukapata wengine wengi tu.... Mimi nakomaa upande wa mama...
  6. kapumbiti kapumye

    Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Naungana na huyu mmdau... Kabla lzm uangalie in and out, mazingira uliyojulia kama huyo mtoto si wako na mama wa mtoto anasemaje.....
  7. kapumbiti kapumye

    Shairi: Mapenzi bila hela

    Uko sawa mnoo.....
  8. kapumbiti kapumye

    Corona imenisaidia kuacha tabia niliyotamani kuacha kabla

    Irudi sisi tuendeleze kutengeneza mikeka... Siku hizi kukosa mechi za league hasa EPL, hata sijui weekend ni ipi
  9. kapumbiti kapumye

    TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Hapo Mh. aliposema marehemu alikuwa mnyenyekevu, Naungana nae moja kwa moj.... Huyu baba alikua ametulia sana aisee... R.I.P, balozi Prof. Mahiga. Umezima kama mshumaa baba
  10. kapumbiti kapumye

    Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

    Wewe ni mfuasi mtiifu wa Chama cha Kijani... Una uchungu gani na hii Chama chao???
Back
Top Bottom