Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

Hawa masikini waache wajadili ujinga wao, sisi sio size yao.. soon wataachia watu wao mitaani na watafungua borders na kila kitu kitaendelea.. Tanzania is giant of all combined, we are just watching them wakijipendekeza kwa Mzungu...watakuja hapa kama Kenyata alivyopanda ndege haraka kumfuata JK Magogoni baada ya kuminywa kidogo tu, huyo PK anajua kilichomkuta misitu ya DRC na baadaye kile kibano akaombewa msamaha na nanihii...tunawacheki tu kwenye radar zetu..
 
Lakin unakumbuka pia hatua aliyochukua Kikwete? Ukihusisha story hebu toa movei nzima
Mjinga ni wewe mwenyewe. Hivi umesahau kipindi kile cha Rais mstaafu J. M. Kikwete, Kenya, Uganda na Rwanda walitutenga na kuanzisha COW hii ikiwa ni baada ya JK kumshauri PK akae na waasi wamalize tofauti zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekaa kumwakilisha Mungu au mungu!!? Kwa nini mnapenda kutafuta kupigwa kofi na Mungu Mwenyezi!!? Yaani wewe utegemee "shetani" na vimuhusuvyo vyote (ushirikina,uuaji,uongo na wizi) halafu useme unamtegemea Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi na kila kilichomo!!!? Upo timamu!?
Kwani vipimo vyako vimeleta jibu lipi kati ya nipo timamu au la? Mimi sijui maana sijajipima.
 
I wish huu mda wa majungu mngeutumia productively! Yanini kutwa nzima kujitengenezea laana!
 
Miaka yote walikuwa wapi kufanya vikao kwa style hiyo? Nchi masikini kama hizi za Afrika ilitakiwa watumie vikao kwa njia ya Mtandao kuepusha gharama zitokanazo na misafara ya viongozi husika.
Corona ndio imewafanya wajifunze matumizi ya mtandao?
Afrika kuna mambo mengi sana walipaswa kuyafanyia kazi, sio hili embe la msimu.
 
Back
Top Bottom