Recent content by Kaptain Punda Dume

  1. Kaptain Punda Dume

    Mashushushu wa Fidel Castro walikuwa na hisia ya sita(Sixth Sense)

    N Ni kweli mkuu, Mimi mwanangu wakiume nimemuita Sankara. Nimempa jina hilo kwasababu nilivutiwa Sana na harakati za aliyewahi kua Rais wa Burkina Faso hayati Thomas Sankara.
  2. Kaptain Punda Dume

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Binaadamu kweli hatuna jema khaaaa!!!, Wakat wa kampen magufuli alizungumza kuhusu ili kwamba wenye maeneo makubwa wasipoyaendeleza yatachukuliwa na serikal na kupewa wananchi, mkashangalia leo anatekeleza ahadi yake mnaanza kumpa lawama. Duuu ebu weken uchama pembeni wenzenu wafanye kaz kwa...
  3. Kaptain Punda Dume

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ha ha ha ha wavumilie doso tu! Huku ni heri upigwe doso tu maana yanaishia hapo hapo ila ukiambiwa uandike maelezo ujue umeumia na chance yakuja kupata ajira ni ngumu coz hayo maelezoyako yatakua attached kwenye file lako. Kudoji kupo ila doji kwa akili Sana make sure roll call ikipitishwa...
  4. Kaptain Punda Dume

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Ha ha ha ha kijana mafunzo ndo Yale Yale sikuzote, maana syllabus ndo Ile ile haijabadilika so hakuna kipya, usiogope kikubwa uvumilivu na nidhamu katika kipindi chote utakachokua kikosini.
  5. Kaptain Punda Dume

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Marefu Ila sio Sana mkuu, mwili ukishazoea utaona raha mwenyewe, kikubwa nidhamu na kujituma tu.
  6. Kaptain Punda Dume

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Pamoja mkuu, tunajaribu kubadilishana mawazo tu, ikizingatiwa humu kunavijana wengi wakujitolea sio mbaya wakajua A, B, C......za uko waendako.
  7. Kaptain Punda Dume

    Tushirikishane akili za wanawake ambao tunakuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi

    Kunasiku nilirudi home sina kitu kabisa na nikamwambia wife kua leo mambo mabaya akasema frsh, tukala chakula cha usiku then tukaangusha, chakushangaza asubuhi naamka ananiomba ela ya kwenda kusukia.... Aiseeee! Nilimkata kelebu moja matata Sana.
  8. Kaptain Punda Dume

    Hivi wanawake mna nini? Yaani namtumia shemeji yenu text anajibu baada ya dakika 10 kupita

    Jifanye umekosea kutext then muandikie hivi "Hiyo million 10 yote muingize kwenye account yangu" uone Kama hatoreply haraka.
  9. Kaptain Punda Dume

    Kipi cha kwanza ulichofanya mara baada ya kukubaliwa na mpenzi wako

    Nilimwambie twende, matako bar & guest house tukaongee vizuri.
  10. Kaptain Punda Dume

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Fireteam-Corporal Section-Sergeant Platoon-lieutenant Company-captain/major Battalion-lieutenant colonel Regiment/Brigade-Colonel/Brigadier Gen Division-Major Gen Corps-Ltn Gen Field Army-General
  11. Kaptain Punda Dume

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Hahahaha....section inaongozwa Na sergeant
  12. Kaptain Punda Dume

    Mwenye Historia ya Marehemu Hugo Chavez atusimulie

    Asante, nawe pia ubarikiwe.
Back
Top Bottom