Recent content by kapsuz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza hair removal wax nyumbani

    Jinsi ya kuitumia ni vipi? miss zomboko
  2. K

    JamiiForums Tanzania Genc Toilet Perfume: Fanya Choo/Bafu yako inukie saa 24

    Dah kinyerezi mbali. M nipo karagwe. Napenda sana manukato ya chooni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokuwa wanakula Pizza Mgahawa wa Uchumi Supermarket

    Wasiojua utamu wa pizza ndio wamekaa kupiga makelele. Mpenda Piza mwenzangu siku ikienda Zanzibar usiache kufika Forodhani ujipatie piza matata kwa elfu4 tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy S4

    nikushauri tu. usiangalie sana bei chee angalia na ubora wa simu. kwanza fanya utafiti ujue mpya inauzwaje. ndo uende kununua used na ununue simu yenye warranty coz ikiharibika hupati tabu yoyote. kuliko kununu simu haina warranty itakugharimu sana. kioo tu chenyewe ni lak3
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Kawe/Mlalakuwa

    Max jamani, it is so sad. R I P Max
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    naomba msaada s1049/0024/2010
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    s1049/0024/2010. naomba kuangaliziwa hiyo kama nimepata mkopo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wa best english novel stories

    kuna moja inaitwa THE GREEK TYCOON ya mills and boon ni nzuri sana hutotaka kukiachia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwnye ngozi yangu ya uso

    tumia revitol scar remover ni nzuri sana lakini gari. ni kati ya 95 mpk 110000
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hachungwi

    hiyo inaitwa tricks of women naipenda sana hiyo movie.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chumba cha kupanga

    Maula mrs. Namba uliyonipa nilimpa mtu alikuwa anakitaka kile chumba cha kimara baruti lkn kasema . Kuna dada anapokea na anasema hahusiki ya upangishaji wa vyuma. Sijui ukikosea
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chumba cha kupanga

    mie kwa kweli nimejaribu kuangalia mazingira ya nyumba za town yan sinza, ubungo, kijitonyama mpk kinondoni naona sitomudu mazingira yake si mazuri sana, afu ghali bora nikaishi kibaha kwa nafasi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chumba cha kupanga

    asante mkuu, nakupigia soon
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chumba cha kupanga

    sinza single chini ya laki moja utapata kizuri tu
Back
Top Bottom