Ipo mikochen pale maeneo ya dolphin,
nyumba ya chumba kimoja na sebule,
choo cha ndani na parking ya gari mbili,jiko,
na ki garden kwa nyuma.
tsh. 250,000/= per month.
if interested holla back: 0715547184
Mimi kwa sasa kuna mtu bado lakini mpaka august ndio mkataba utakwisha. Lakini bei yangu mimi ni laki na themanini chumba na baraza na choo chako na bafu lako ila jiko la kushrae. Nyumba ipo ndani ya gate na mazingira ni safi sana na nyumba inatazama bara bara ya changombe
kwa maongezi zaidi tuma private message au kama utakuwa umepata pengine hakuna neno. Mimi sio dalali ni mwenye nyumba