Pima na kisukari pia, nasikia hii kitu ina uhusiano mkubwa sana na haya matatizo ya erection. Fanya body check up mkuu, inawezekana kuna walakini somwehere
Mwanamume hanuni kwa mkewe aisee, au hawa ndo wale vijana wakiume wanaojisifia uzuri wa sura? Ila kwa ushauri, ashirikishe wazee wa kiroho, inawezekana huyo kijana ana pepo au jini mahaba
Kama Marehemu alishaanza kukataa watoto ni kasheshe maana kunaweza kuwa na sintofahamu juu ya watoto kwenye will. DNA proof inaweza kuhitajika hapo baadae na ndugu wa karibu (siblings) watakuwa ni muhimu katika kutoa comaparative samples za DNA. Ndio maana wahenga walisema - Damu ni nzito kuliko...
Sasa akioa akiwa 40 si watoto watakuwa wanamwita babu? Ni vizuri aoe mapema ili aweze kulea watoto akiwa bado ananguvu, na anapochoka na watoto nao wameshajitegemea.
Just imagine mtu uko 60+ ushastaafu au kujichokea na watoto ndo kwanza wako sekondari, ni headache. Aoe mapema (Below 35 yrs)
Huna pepo la ngono, una a medical condition ambayo inaweza kutibika ukapona kabisa, hii kitu inaitwa nymphomania, mtafute psychiatrist anaweza kukusaidia.
Pia jaribu kujichunguza kama una hypomania traits, hawa ni watu ambao wana type A personalities - high work rates, smart kichwani, fighters...
Dah, kijana umeremba sana. Mtoto ulitakiwa ummege siku ileile ulivyokualika kwao, halafu kesho yake ujitete kwamba it was a mistake etc Be a bad boy, unavyokimbiakimbia na kunatanata ndio mtoto anafall zaidi maana unaonekana sio mhuni na akikupa ataweza kukimiliki kikamilifu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.