lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Naona unachezeya Mzimu wa Hitler na NAZI!!!!!!!! Waulize wayahudi na waholanzi! Ngoja unyanganywe passport na huwi deported wala nini, lazima uoe tena baada ya kusign Prenap kali sanaa! Ohoooooo!
Alafu kusoma hujui hata picha huoni, wewe umejiweka close na huyo dada afu utegemee asifall kwako kweli? Na utepe umeukata mwenyewe!!!!!!!! Kuwa na ubinadamu kidogo!
Fanya upate hayo makaratasi bwana! Bahati ilioje afu unairingia! Urudi huku kufanya nini wakati wenzio tumejaa na hakukaliki! Kuwa kama wahindi banisha huko huko Munich au sijui wapi huko! Utuvute na sie ndo njia pekee ya kuondoa umaskini Bongo huku!