Msaada Jinsi ya kupata antivirus

Msaada Jinsi ya kupata antivirus

Kama unatumia windows 7 genuine na hauna anti virus, angalia kwenye task bar utaona kibendera, bonyeza utapata option ya kupata hiz prgram toka microsoft website. chagua microsoft security essential ni bmba na bure.
 
Mwl.RCT namimi naomba msaada wako mkuu,natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom