HEMED KIVUYO wa ITV

HEMED KIVUYO wa ITV

Namtakia mafanikio mema katika kazi yake. Wenye wivu kazi kwenu, pia mwaweza mrejesha Nkamia atangaze mpendavyo nyie. Poleni sana.
 
Mi napenda mno jinsi anavyoripaoti maana amfkuwa mbunifu wa kuwavuta mashabiki kwa sautyake
 
Dogo yupo vizuri, mbunifu ile mbaya na mwingi wa weledi. Mtaalam wa misemo ya kiswahili, hukosi cha kujifunza anaporipoti. Watu washazoea TBC bora liende ndo mana.
 
loo. mimi ananikera Sam Mahela kha! anavyojishaua utasema anatafuta cheo! utadhani amekula chachandu ya uswahilini lol
 
Nachukia sana aina ya Utangazaji ya huyu dogo. Kulia sio kulia, kulalamika sio kulalamika, almradi mbwembwe na kuchamba kwingi.

Utakuwa mtu wa msimbazi tu wewe...
 
Hahaha namfahamu huyo ana boa kweli, mbona watangazi wa bbc wa michezi hawana swaga kama zao ...
 
mie namkubali sana haswa mbwembwe zake, misemo mingi na nahau tele.
 
Binafsi namkubali sana huyu jamaa ni mbunifu sana na huwa anachangamsha sana habari
 
Dogo yupo vizuri, mbunifu ile mbaya na mwingi wa weledi. Mtaalam wa misemo ya kiswahili, hukosi cha kujifunza anaporipoti. Watu washazoea TBC bora liende ndo mana.

mkuu naunga mkono hoja yani mi namkubali sana jamaa sana na misemo yake ya kiswahili huwezi kuacha kumsikiliza
 
Nachukia sana aina ya Utangazaji ya huyu dogo. Kulia sio kulia, kulalamika sio kulalamika, almradi mbwembwe na kuchamba kwingi.


Mbona haueleweki? Na wewe ndio umeamua kumuiga sio? Maana hayo yako nayo ni malalamiko!!
 
Ni mzuri sana maana mara nyingi amekua analalamikia kitu ambacho hata majority wanakichukia.
kuna jamaa mmoja alinukuliwa akisema...."love me the way I am and not how you want me to be!"
 
Tatizo hiyo staili yake ya utangazaji huwa ni pale tu anapokuwa off-camera. Akiwa mbele ya camera anatia huruma kweli. Swaga zote hakuna.
 
Ahahahahahhh, eti malkia wa sisimizi kama sio nyuki, nimechekaje, dah jf kuna watu
Watoto wa Jwagwani watulivu mithili ya mnyama mwenye shingo ndefu Twiga wa pale mikumi.
Leo wameirarua bila huruma vijana wa mtaa wa msimbazi mbili kwa mtungi.
Vijana wa msimbazi kwa sasa ipo chini ya malkia wa sisimizi kama sio nyuki.
 
Kitenge anaongoza kwa kujishaua! Anaongea kishogashoga
 
hata ww unaongea kishogashoga:sly:
 
Dogo ni mbunifu, yuko vizuri sana,na kwa nahau ndio kiboko. Wanahitajika wengi wa namna hii sio mtu anasoma tu
 
Back
Top Bottom