Recent content by Kappa

  1. Kappa

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nah, sizifahamu. Kesho nitapita madukani nizitafute nizione ili at least nipate picha ya unachonielezea
  2. Kappa

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Yeah, inayo Aux. Sio fundi per se, ila inawezekana ukanipa muongozo nikajiongeza.
  3. Kappa

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nikijaribu kwa device nyingine pia inagoma bado. Hiyo bluetooth module naipata wapi? Na inafanyaje kazi ili iweze kutatua changamoto yangu?
  4. Kappa

    Kodtec Speaker systems

    Natumia Sony DAV-DZ350, ina tatizo kwenye Bluetooth kwa muda mrefu kidogo sasa. Ni mara chache sana Bluetooth inakubali ku'connect (labda mara 1 kwa mwezi). Tatizo limeanza tu out of blue, haikuwahi kudondoka wala kupigwa shoti. Ukiwasha bluetooth inasoma vizuri kama inasubiri iwe connected, ila...
  5. Kappa

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Natumia Sony DAV-DZ350, ina tatizo kwenye Bluetooth kwa muda mrefu kidogo sasa. Ni mara chache sana Bluetooth inakubali ku'connect (labda mara 1 kwa mwezi). Tatizo limeanza tu out of blue, haikuwahi kudondoka wala kupigwa shoti. Ukiwasha bluetooth inasoma vizuri kama inasubiri iwe connected, ila...
  6. Kappa

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Mkuu ulishaupata huu wimbo? Nautafuta sana, kama umeupata naomba copy tafadhali.
  7. Kappa

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu mi natafuta nyimbo ya (Wana Ikibinda Nkoi) Diamond Sound ya mwanzoni kabisa ile wanataja club na hoteli kali za mikoa karibu yote ya Bongoland.... Hiyo na nyingine za hao hao wakali kina Allan Kashama Mulumba na crew yake
  8. Kappa

    Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Kura yangu iko kwa Pacman, i always admire the guy, ptovided he's a Southpaw, itakua ngumu sana kwa Money kumpiga. Money pia yuko vzr sana, hamna haja ya kumuelezea sana coz historia yake imeshathibitisha hilo. Ujinga itakua ni kumchukia Money kwa sababu ya show-off zake. Anapata hela kwa jasho...
  9. Kappa

    Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Swala sio uzito kama tulivyozoea, ishu ni ubora wa wapiganaji. When it comes to #PoundForPound hawa jamaa wana mvuto na wako kwenye ubora kuliko walio kwenye heavyweight. Labda kwa sababu wamarekani hawana bondia bora kwenye uzito wa heavy ndio maana promo zote ziko kwny welterweight.
  10. Kappa

    Matatizo ya nyonga na mifupa

    Mkuu embu toa muongozo na wengine tunufaike kama wewe ulivyonufaika.
  11. Kappa

    CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

    Asante mkuu mzee wa ndonga naisubiri hiyo article.
  12. Kappa

    CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

    Nakusubir mkuu. Though ntakupigia kwa info zaidi, lakini ni bora uweke details hapa kwa faida ya wengi pia.
  13. Kappa

    CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

    mzee wa ndonga Nacheki hapa kwenye hii page, kuna kitu kimenichanganya na sijaelewa kabisa (lugha hii hapa imenipiga chenga) naomba muongozo wako tafadhali How to Become CISA CertifiedThe CISA designation is awarded to individuals with an interest in Information Systems auditing, control and...
Back
Top Bottom