Wewe ndio unaye mwaga Pumba za kijinga hapa umejiunga jana leo unaleta Pumba zako za kijinga hapa kwenye Thread ukimuona mtu mpaka, kaja hapa kutaka ushauri ukaehaijalishi nimejiunga lini,ila ucije mpotosha mwenzio akapoteza mtoto.mizizi yote hiyo?!! Kwanza nasiki mimba zikiwa ndogo haishauriwi kumeza midawa hovyo bila ushauri wa medical doctor,sasa we wamjazia mizizi mikavu.mi sifahamu dawa ila kwa sababu aliomba ushauri nadhani ni vyema kwenda hospital kwa ushauri zaidi.we mzz mkavu kwa kuwa umejiunga cku nyingi thats why unamwaga pumba?wacha kabisa!
Maumivu ya nyonga
(1) Dawa ya maumivu ya Nyonga tumia Moja wapo wa hizi dawa inshallah kwa
uwezo wake Mwenyeezi Mungu zitaweza kukusaidia.
Utwange Gramu 6 za mbegu
za
(harmal) achanganye
na maji ya Uvuguvugu glasi moja awe anakunywa kutwa mara 3 kabla ya
kula kitu kila siku kwa muda wa siku 12 inshallah atapona. kila akitumia
afanye hivyo.
(2)Na ingine hii chemsha na
maji Maganda ya limau kisha kuchemka awe anakunywa kutwa mara 3 glasi
moja ya hayo maji kabla ya kula kitu Asubuhi,Mchana na usiku kwa muda wa
siku 12 atapona inshallah.
(3) Na ingine hii Pata
Asali safi mbichi ya nyuki changanya na unga wa mbegu za
(Harmal)
gram 5 awe anakunywa kutwa mara 3 Asubuhi kijiko kimoja cha kulia wali
mchana kijiko kimoja na usiku kijiko kimoja kwa muda wa siku 12 atapona
inshallah. awe anafanya hivyo kila wakati anapotumia hiyo
dawa.
(4)Na hii ingine dawa ya
kutibu hayo Maradhi ya nyonga Upate mafuta ya
Hina
uwe unamfanya masaji sehemu ile inayouma kwenye hiyo nyonga kila siku
kutwa mara tatu kwa muda wa siku 12 inshallah
atapona.
(5) au hii ya mwisho upate
Mafuta ya lozi
(mlozi)
uwe unafanya masaji kama unavyo fanya kwa kutumia mafuta
ya
Hina inshallah
atapona.
N.B Muhimu Dawa namba 1 Au
dawa namba 3 unaweza kuchaguwa kutumia mojawapo kati ya hizo mbili sio
kutumia zote 2 kwa wakati moja. Na zilizobakia waweza kutumia zote.
Tumia kisha unipe
feedback.@Sir.M.D
Hiyo Harmal zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kiarabu hapo Dares-Salaam Karibu na sokoni kariakoo Mtaa wa Pemba kawaulize Wapemba wanauza hizo dawa za Kiarabu watakupatia email yangu hii hapa fewgood@hotmail.comahsante kwa msaada wako,hizi mbegu za harmal zinapatikana wapi kiurahisi..naomba pia unitumie email yako tafadhali.
Duuuu. Dramakwini hadi anaingiza gari mtaroni!? Hiyo nayo kalisorry, i meant kwamba sometimes wanakua dramaqueens... no offense nimeexperience mkuu
ni kumpa ushauri nasaha, apate medical attention nzuri na waangalie asije akapoteza mtoto
ila tusisahau kwamba a foreign body in our bodies may make us a little bit crazy
Ntinginywa dia,pole sana. Kuumwa kwa nyonga wakati wa ujauzito n common kwa akina mama wengi. Mimi niliumwa sana na ikafikia wakati nikawa cwezi hata kugeuza mguu kitandani. Nilitembea hosp kwa gynae na kumpigia cm mpaka ikafikia muda akawa anacheka tu na kuniambia " vumilia tu mdogo wangu". Aepuke matumizi ya dawa kwani c nzuri kwa afya ya mtoto aliye tumboni. Pia apate muda mwingi wa kupumzika ackae sana.
Mpendwa, hebu tupe nasi hiyo dawa/tiba hujui yaweza mfaa nani huko mbeleni..... nawe fanya heri kwa wengine.Napenda kuwashuku sana wale wote walionipa ushauri ama kunielekeza dawa ya maumivu ya nyonga nimefata ushauri niliopewa na sasa hali yangu imeimarika namshukuru mungu. Mbarikiwe. Ubarikiwe sana dada yangu @ faizafoxy kwa kujali tatizo langu. Ahsante
Mkuu hamna drama hapa, mpaka atumbukize gari mtaroni???....are you kidding???Ntinginya, waweza fanya Ultra sound sawa, ila pia angalia psychology ya mkeo.. Pamoja na maumivu yote, mimba zaweza kusababisha mtu akawa either anadeka sana au anapain threshold ndogo sana
sorry i am taking a stick out of your wife, its because better therapy needs to address all... dramaqueen
Its more complicated than just pain