Recent content by Kapo Jr

  1. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva Honour dhidi ya Siasa bongo

    Mara kwa mara serikali huingilia utaratibu wa makundi kama Sanaa Ili kuvuruga au kuhofia uungwaji mkono ktk jamii,hali hiyo hupelekea kuvuruga lengo la waratibu na wasanii kukosa fursa/kipato kupitia vipaji vyao,Mr. Sugu ni mbunifu katika jamii,rejea mradi wa maleria na kilichotokea...
  2. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva Honour dhidi ya Siasa bongo

    Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
  3. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Nimejaribu play store naiona Ile Ile tu
  4. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Ikiwa kaka yake John Heche wa damu ni Mwanasheria anayefanya kazi na Rais Samia Suluhu Hassan , je mnafikiri kipi kinaendelea!?

    Kaka ana maono na maamuzi yake kama ilivyo kwa mdogo kwani kuzaliwa familia moja hakuleti mtazamo aina moja
  5. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    Wataanikwa kabla hawajatoa wanachoita ushahidi dhidi ya Lissu,kwa tamaa na uchu wa pesa na madaraka bila kujali damu za watu wengine
  6. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Maana halisi ya "state capture" tishio kwa umma na manufaa kwa wachache hao!
  7. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Wewe ni siri

    Kweli kabisa mwamba yaani SIRI ndio Kinga na mwangaza kuyafikia mafanukio S Mwamba umenisanua mipango ya mafanikio yanapaswa kuwa SIRI
  8. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

    Msela akishikiana na juma nature(GWM)
  9. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu na ulimwengu

    Mungu kaumba binadamu kwa mfano wake,ni mengi binadamu tunatenda lakini ni kwa mapenzi yake,ujuzi wa wanasayansi,madaktari na wahandisi ni Mungu karuhusu uwepo wao watende kwa niaba yake
  10. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu na ulimwengu

    Through his preaches to corrinthians also the Apostle Paul meant that when you become a man you learnt to distinguish childish and man's responsibilities
  11. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu na ulimwengu

    Paul the Apostle written in the #HollyBibble as I quote to reminds corrinthians about steps of human being especially childish to man
  12. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu na ulimwengu

  13. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu na ulimwengu

    Kupitia Biblia-Takatifu 1Wafalme18:25 Mungu anadhihirisha kwamba ndiye ALFA &OMEGA kupitia Nabii Eliya pale sadaka yake inajibiwa tofauti na Mungu wa bahari, Ulimwengu kwa Mungu ni sehemu ndogo tofauti na tujikwezavyo!!!
  14. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania Mungu na ulimwengu

    Kiama kwa wanadamu ni mipango ya Mungu,tangu UUMBAJI hadi GHARIKA kipindi cha NUHU hadi nyakati tulizopo ni wazi kwamba mwisho wa dunia(Kiama) ni mauti kwa kila binadamu.Pamoja na kuruhusu binadamu kutawala vitu ama viumbe wengine lakini Mungu alituficha KIFO kitufikapo,yawezekana ni maksudi...
  15. Kapo Jr

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tundu Lissu ana nguvu gani dhidi ya wagombea wengine wa urais?

    Wakati ni sasa baada ya mateso na kukandamizwa na utawala wa ccm watz tuna nafasi mikononi(kura) kufanya maamuzi tarehe 28/10/2020 kwa kuchagua viongozi makini wenye hofu ya Mungu wasiolewa madaraka
Back
Top Bottom