Recent content by kapiti

  1. kapiti

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Mara ngapi nyie na dini yenu mmejitoa muhanga na kuangamiza watu wasiyo na hatia? Acha upumbavu jikite kwenye mada huna cha kuchangia Kanye ukalale.
  2. kapiti

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

    Ile siyo hospital ya cash isipokuwa kila mwenye kadi ya bima anaweza kutibiwa pale isipokuwa ukiingia mule lazima ufuate taratibu za pale siyo hospital ya kuingia kiholela ila haizuii mtu kutibiwa acheni kujazana ujinga na uzushi usiyo na faida.
  3. kapiti

    JamiiForums Tanzania Huyu demu anataka kuolewa sasa

    Mbona anasura ya kiume? Au kafanana na baba yake? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kapiti

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Mapinduzi Cup Simba na Yanga zikakutana

    Kwani we unadhani simba inatofauti gani na timu nyingine? Angalia ya nashujaa, green worries na ndanda , angalia kwenye mashindano ya FA wako wapi? Kwenye msimamo wa ligi kuu je? Simba ni timu ya mihemko tu wala hawana maajabu yyte Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kapiti

    JamiiForums Tanzania Wanasimba tuungane kumuokoa Zamoyoni Mogella

    Na mna kazi ngumu sana mwaka huu!
  6. kapiti

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Mimi si mtaalum wa sheria ngoja niwapishe wajuzi wa sheria waje...akina Petro mnaitwa huku
  7. kapiti

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Hili litakuwa popoma
  8. kapiti

    JamiiForums Tanzania Namna mzee Mapanga alivyouwawa kwa mapanga!

    Hata mm nangoja kwa hamu
  9. kapiti

    JamiiForums Tanzania Namna mzee Mapanga alivyouwawa kwa mapanga!

    Ulichokiandika ni kweli tupu, namkumbuka huyu mzee Mapanga Melele wa bandari , alikuwa mtu mmoja pouwa sana nayeye pia alikiwa bingwa wa kuzaa, sijui sasa kuna uhusiano gan na huyo mzee Mapanga Melele injinia?
  10. kapiti

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa mapenzi ni ulimwengu wa raha na mateso

    Mapenzi matamuuuuu sana ukiyapatia lkn ukiyakosea utalia bila kupigwa
  11. kapiti

    JamiiForums Tanzania post za kidato cha tano zimetoka

    Kumbe
  12. kapiti

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Basi jaribisha upate ukweli
  13. kapiti

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume mkimtaka mwanamke mnakuwa wanyenyekevu sana na mkishampata mnabadilika?

    Punguza kugawa gawa hovyo Dada leah2
Back
Top Bottom