Recent content by kanywa

  1. kanywa

    Sakata la Askofu Alex Malasusa lachukua Sura Mpya, Watoto Watoroshwa

    Sina Wa kumtetea ngoja tusubiri tutajua mwelekeo wake ni upi. Kumbuka kuanguka kupo kwahiyo sishangai. Lakini naona move vile maana evidence mbalimbali hamna naendelea kufuatilia
  2. kanywa

    Wosia wa Liyumba: Msionyeshe sura yangu kwa umma

    Mimi sometimes nakwepaga
  3. kanywa

    Kanisa la KKKT badilisheni uamuzi wenu, ndoa sio biashara

    Sidhani kama Kuna anaye kurazimisha kutoa. Ukiona inakukera makanisa nimengi nao wanakibari cha kufungisha ndoa. Na ukiona kabisa kabisa uwezi kajaribu kwa sheeehe. Baada ya muda utaelewa kwann. Uchaguzi unao ww mwenyewe
  4. kanywa

    Ni kweli ananipenda au ndio kurushiana Roho kusema kweli nimezama and nashindwa kutoka

    Achana na miviringo angalia je mnalandana kimawazo? Na ukiona umekaa na msichana unaye muita mchumba alafu unakonda huyo si chaguo lako.
  5. kanywa

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Siku moja tulikuwa kwenye safari. Tulikuwa watu wengi kidogo Wa dini tofauti yaani wakristo waislam na wapagan wasiyo na dini. Basi njiani dreva akaweka nyimbo za kuabudu zikawa zinaimbwa mara baadae Rose Muando nawimbo wake nibebe kumbe dreva hasijue kwamba anawakera watu humo ndani. Wakamtolea...
  6. kanywa

    Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Ukisha mjua mwenzako ana uzaifu gani usisubiri muhujiza. Mwelekeze nini cha kufanya. Usipo Fanya hivo mwanaume nidhahifu mno akiona ngozi laini network inakata minara inasimama tu. Hachukuhi muda kuchanganya kama mwanamke. Labda mwanamke awe ovulation hapo mambo yako tayari. Kapakue ule.
  7. kanywa

    Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    By nature bao la kwanza hupenda kutoka mapema. Sababu ni nature yake. Mwanamke usipo kuwa makini utaachwa mataa. Labda bao la pili kama nalo linatoka kama la kuku basi hiyo ni shida. Mwanamke jitengenezee mazingira ya kwenda sawa na mwenzio kwa bao la kwanza
  8. kanywa

    Tetesi: Zamu ya Muhongo kuumbuka

    Muhongo atatumbuliwa tu. Time itasema.
  9. kanywa

    Rais Magufuli: Upone haraka,tunakuhitaji

    Yaani wanamuhitaji kwenye uchaguzi
  10. kanywa

    Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Eitha shida yako pesa aondoke au humtaki na karazimisha kwahiyo inakuwa maliza uondoke. Lakini mkiwa pamoja kwa nia moja kwa ajiri ya kufurahi alafu safari yake ikawa fupi wewe ukabaki njiani juwa wewe mwanamke fala hujuhi wajibu wako na sababu ya kuwa hapo
  11. kanywa

    Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

    Dada zangu ukiona menaume anawahi kufika wewe ndo unatatizo.
  12. kanywa

    Tangazo la Makonda, nafasi ya Mkuu wa Mkoa ni ipi?

    Walimu wanunuliwe staff bus ambazo zitawazungusha mji mza. Lakini habari ya burebure sijavaa kitambulisho chako mkuu makonda
  13. kanywa

    Wakati Rais akiimarisha ushirikiano na Israel, jionee kinachoendelea

    Nashangaa sana mkristo unabishana na mtu ambaye biblia kwake si kitu na wala hatambui umuhimu wake. Hajui kwanini kwanini Israel kwanini parestina. Ebu acheni kubishana nao.
  14. kanywa

    Haya ndio majukumu ya mkuu wa Wilaya

    Mh.! Haya majukumu ya mkuu Wa wilaya ni shiida tupu. Basi makonda ajiamgalie
  15. kanywa

    Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda

    Philipo Bukililo kunakitu ikuweza balansi. Kambi za benako na ngara zilikuwa na wahutu pekee. Na kwa Sasa Rwanda inaongozwa na watusi. Tabia za wanyarwanda Wa kitusi nitofauti na wahutu. Nakipa hii ukimuoa mtusi juwa yakwamba watoto watakao zaliwa siyo wakwako wote wanamfanana mama. Kumbe watoto...
Back
Top Bottom