Kanisa la KKKT badilisheni uamuzi wenu, ndoa sio biashara

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,583
MAKANISA KADHAA LEO YA KKKT WAMETANGAZIWA KUANZA KULIPIA SEMINA YA NDOA Bwana na Bibi 100,00/=

Swali anaefundisha wa sasa na wanyuma ana tofauti gani jamani mbaya ati wapwani wanafanyia semina Azania front nyie nyie nikafunge kwingine semina kwingine nn tena hio.

Mmefundisha bure bado wanaachananahodo mkiwatoza hela watakuwa na uchungu na ndoa zao hahaaa...
Shida wale wasiokuwanao mnawambiaje waendeleee kutotoa nje ama..anyway bana embu badilisheni haya mawazo
 
MAKANISA KADHAA LEO YA KKKT WAMETANGAZIWA KUANZA KULIPIA SEMINA YA NDOA BW N BB 100"000…..

SWALI ANAEFUNDISHA WA SASA NA WANYUMA ANA TOFAUTI GANI JAMANI MBAYA ATI WAPWANI WANAFANYIA SEMINA AZANIA FRONT NYIE NYIE NIKAFUNGE KWINGINE SEMINA KWINGINE NN TENA HIO....


MMEFUNDISHA BURE BADO WANAACHANANAHODO MKIWATOZA HELA WATAKUWA NA UCHUNGU NA NDOA ZAO HAHAAA...

SHIDA WALE WASIOKUWANAO MNAWAMBIAJE WAENDELEEE KUTOTOA NJE AMA..ANYWAY BANA EMBU BADILISHENI HAYA MAWAZO

Kama huwezi acha unafikiri wanaofundisha wanalipwa nini?
 
LO HUNA HAYA HUKO NYA MLIKUWA MNAWALIPA NINII SI MUWEKE SADAKA YA NDOA KILA JPILI WAWE WANALIPWA ACHENI KUTESA WANANCHI SKOO WOTE WANAUWEZO KAMA WENUU
 
Makanisa nayo ni biashara kila kitu pesa...ndio maana huwa naona dini ya kweli ni uislam tuu..haina magharama ya ajabu ajabu si mazishi wala ndoa wako simple tuu.
Ila huu ujinga uko sana Africa tu huko ulaya ndoa ni kawaida sana haiitaji pesa sana.
Makanisa ni jipu uchungu inabidi nayo yatumbuliwe tu hamna namna ingine.
 
Siku moja katika matembezi yangu Jumapili moja nilikutana na mzee mmoja nikamwomba anielekeze njia ya kupita ili kufika kule nilikokuwa naenda. Yule mzee akaniekeza huku akielekeza kidole chake kwenye kanisa lililokuwa wazi mita kadhaa mbele huku akisema "unaona hilo duka lililo mbele yetu? Basi ukishafika hapo kata kushoto......" Nikashangaa kwani hakukuwa na duka isipokuwa kanisa lililokuwa limefunguliwa. Hivyo nikamwambia " mzee mbona sioni duka?". Akanikazia macho na kuniambia "Ndugu yangu na umri wote huo hujui hilo ni duka la wajanja? Asubuhi duka linafunguliwa, biashara inaendelea kisha jioni wanapiga hesabu ya siku "

Anyway, baadae nilikuja kuelewa alichokuwa ana maanisha huyo mzee. Kuna baadhi ya watu wanatumia jina la bwana au kanisa kuvuna fedha za watu kwa maslahi yao binafsi.
 
SWALA LA IMANI TUNA NAMNA ZA KUJADILI ....ALL HAPA...NA WEWE KAA NA UISLAM WAKO HAKUNA ALIYEKUITA ....COUNTER HAMSEMI ...HILI JAMBO JEMA POVUUUU
 
Mimi nafikiri walikaa wakaona michango ya kamati kwa sherehe za hizo ndoa ni hela nyingi. Kwanini wasipate sehemu hapo? Hivi kweli unalipia mapambo laki kadhaa alafu aliyewafundisha juu ya kudumu kwenye hiyo ndoa iwe bure! Nadhani wako sahihi hizo gharama ziingizwe kwenye kamati ya maandalizi
 
Sidhani kama Kuna anaye kurazimisha kutoa. Ukiona inakukera makanisa nimengi nao wanakibari cha kufungisha ndoa. Na ukiona kabisa kabisa uwezi kajaribu kwa sheeehe. Baada ya muda utaelewa kwann. Uchaguzi unao ww mwenyewe
 
DINIII INAYOAGIZAA SEMITRELLA KISA KODI ZA BURE WOII NYIE WALEWALE KAA KIMYAA TUTAKUJA KAMATA NA ZILE FUSO

Makanisa nayo ni biashara kila kitu pesa...ndio maana huwa naona dini ya kweli ni uislam tuu..haina magharama ya ajabu ajabu si mazishi wala ndoa wako simple tuu.
Ila huu ujinga uko sana Africa tu huko ulaya ndoa ni kawaida sana haiitaji pesa sana.
Makanisa ni jipu uchungu inabidi nayo yatumbuliwe tu hamna namna ingine.
 
NCHI IMEJAA WAPIGAJI KILA KONA

MABARAZA YOTEE WAPIGAJII UKIPELEKA UKAGUZI BAKWATA NA BARAZALA MAASKOFU UTAFUNGA WAKUUWOTE WA DINIZETU..
 
Back
Top Bottom