Recent content by KANYONYI LAURENT

  1. K

    Matumizi sahihi ya Dabo indiketa, gia L,2,3 na O/D katika gari za Automatic

    Kwa sasa taa ya OD on /OD off kwenye dashboard haisomi. Je ni hatari?
  2. K

    Mzimu ulionipa Barua niipeleke Ikulu kwa Rais, Mwaka 1917

    Ni nani alikuwa Rais wetu mwaka 1917?
  3. K

    Nani anafaa: Uteuzi wa waziri mpya wa Nishati na madini

    Tangu lini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Kinachotokea kwenye msafara wa Rais Magufuli kinatoa picha gani?

    Zihara ya Rais huratibiwa na kufuatwa kama ilivyopangwa na wahusika uhakikisha hakuna interference so unachokiona ni sehemu ya ratiba. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Isije ikawa mleta mada ni yule yule aliyepiga risasi hewani.
  6. K

    Brother Mo Dewji, seriously??

    Ww ulipokuwa na birthday party ulimwalika? Au ulialika wahindi wangapi? Je kuna mtu alikuchagulia watu wa kualika?
  7. K

    Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

    Naomba zitengwe hostel 2 kwa ajili ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Ardhi maana wanapata shida sana.
  8. K

    Wanafunzi waliochaguliwa kidato cha kwanza kufanya mtihani mwingine

    Kama kulikuwa na nia njema basi mitihani hii ingefanyika kabla hawajaingia gharama za kuanza kidato cha kwanza kwa serikali na wazazi na saikologia ya watoto . Napendekeza wawaache watawapata tu kwenye mchujo wa form II
  9. K

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    OD on gari linakunywa mafuta sana regardless ni kwa speed gani.
  10. K

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Ni kawaida kwa nyani Mdogo kuchekelea wakati msitu ukiungua.
Back
Top Bottom