Nani anafaa: Uteuzi wa waziri mpya wa Nishati na madini

dunguni

Member
Jul 3, 2017
41
95
Nchi yetu inao wasomi wengi wakuisimamia kwa uadilifu wizara hii ya Nishati,Mhe:Rais soon kama siyo very soon atatuteulia yule anayefaa.

Kwa maoni yako, ni nani ndani ya serikali au nje ya serikali unaona anafaa kushika nafasi hii?Piga kura yako kabla uteuzi haujatangazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mimi nafaa sana
 
Kwani kuna shule gani ukihitimu ndiyo unafaa kuwa waziri? Ili tuanze sasa kutazama waliohitimu hapo tuone nani anafaa, ila kama hamna shule yoyote basi nipendekezeni mimi, kweli kabisa sitawaangusha ninawaahidi
 
Kitu cha kwanza wizara hiyo ivunje zitoke wizara mbili

1. Nishati ampe Prof.Manyahi

2.Madini ampe Kafulila

Wakati huo huo akubali kupoteza wabunge wawili wa kuteuliwa na Rais awape vyeo vingine
 
Back
Top Bottom