Recent content by Kanyigoboy

  1. Kanyigoboy

    Hivi huyu Ali Msomali ndio nani haswa?

    Waulize wana yangaa mkuu
  2. Kanyigoboy

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Sufiani juma nguli wa siasa za kimkakati na mitufuano akabidhiwe mikoba na mapochi ya comred makonda kolomije bashinde alisongeshe gurudumu la mama kizimkazi na hapa ipo
  3. Kanyigoboy

    Mzee wa Kanisa la Wasabato awafuturisha Waislamu 100 Tanga

    Shida yenu ni ulafii ukute mzee wa kanisa kawapiga na mixer ya nguruwe mlivyo wa hovyo[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Kanyigoboy

    Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Wewe mwenyewe ni wale wale tu, mtu mpaka dunia ya leo unatoa wapi muda wa kuchat huo upuuzi na matapeli jifunze kupotezea mkuu sio lazima kujibu kila mtu
  5. Kanyigoboy

    Kocha wa Morocco kuanzisha fujo uwanjani naye atafungiwa?

    Wewe Bibi Kigagula mchokozi sana
  6. Kanyigoboy

    Wakazi wengi wa Uswahilini Dar es Salaam ni viumbe wa ajabu sana

    Ukitaka Kula madem wa uswazi tafuta wale masela wa kitaa akufanyie sab, ukiwa uswazi ukaleta mitikasi ya ki gentlemeni lazma wakukataee wakina ashura wanajua kabisa sio mtu wao
  7. Kanyigoboy

    Si kwa ubaya lakini naona anguko la Harmonize

    Na kwa mtazamo wangu icho ndio unatamani kimkute na haitakuwa as long ana kipaji ataendelea mbele tuache kutabiliana mabaya kmmk
  8. Kanyigoboy

    Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Shida ya hizi siasa alizokuja nazo ni za upepo tu ateme nondo watu wamsikilize sio haya maigizo yake ya kizamani
  9. Kanyigoboy

    Ana 1 ya 7 PCB, yatima anasomea udaktari na kakosa mkopo

    Wengi wa hivo wanakosea kwenye kuomba na kujaza form kama anaweza aende bodi moja kwa moja
  10. Kanyigoboy

    Mpinzani mkubwa wa CCM kwa sasa ni Serikali ya awamu ya tano. Wapinzani wameshindwa kazi yao?

    Bungeni zile ni Sanaa tu kuwa hadaa wapiga kura hamna hatua zozote watafanya pale, na Tz tulivo wasahulifu tunaona tunawawakilishi kumbe ni utapeli tu
  11. Kanyigoboy

    Naona Bunge linapiga chafya

    Wabongo bhna zile ni script tu wanafanya mule hamna ukosoaji pale ni hadaa waonekane wapo serious
  12. Kanyigoboy

    Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

    Hara chadema kuna pambalu hajuagi anazungumza nini sjui ilkuaje akawa mwenyekiti bavicha vyama vyote kwa sasa kuna waropokaji wengi kuliko wanasiasa na hii ndio changamoto tuliyonayo kwenye vyama vyetu vya siasa atlist Act kuna watu makini unaweza wasikiliza wakitoa hoja, ila cdm na ma ccm ni...
  13. Kanyigoboy

    Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

    Tatizo unakalili maisha hakuna mfanano wowote katika mageuzi yoyote duniani ccm itatoka tu madarakani tena sio sababu ya uimara wa chama chochote cha siasa itakuwa ni maamuzi ya wananchi hawa mnaokesha kuwakatia umeme kila siku na kukandamiza haki zao, ipo siku mtashangaa sana kobe kuinua kichwa...
Back
Top Bottom