Yah upo sahihi kabisa. elon musk ni mtu wa mawazo sio kutenda . Ana mawazo mengi sana ila karibu yote yanaishia kuwa mawazo tu na sio vitendo na uhalisia.
Huyu jamaa ana projects nyingi sana ila almost zote ni maneno tu . Alisema atatengeneza miwani inayofanya vipofu waone, aliahidi atatengeneza magari yanayopaa kama ndege pia alisema gari zake za tesla zitaweza kutumika kama boti. Alisema atasafirisha binadamu laki moja kwenda sayari ya mars. Ana...
Lakini sio sawa kuwalaumu GBP. Wao wamefata utaratibu ambao umewekwa na mamlaka inayosimamia wauza mafuta wote tanzania. Wewe pia kama mnunuzi fata utaratibu vipo vyombo special vya kuhifadhia petrol sio madumu ya plastiki
Yamal bado bwana mdogo anaela za kutosha na ni superstar mkubwa. Anauwezo wa kuvuta almost pisi yoyote anayotaka yeye. Lakini huyo dem hawezi tena kupata bwana supastar kama yamal ataishia kujilaumu tu kwanini kumcheat... Kwaio msimamo ni ule ule. Tutafute pesa. Pisi zipo nyingine.
Sasa hayo ni mambo ya kiimani zaidi sio historical. Ukiwauliza waislamu na wakirsto na wayahudi yesu ni nani utapata majibu tofauti kutokana na imani zao. Wakristo watakwambia yesu ni mungu au mtoto wa mungu. Waislamu wanasema yesu sio mungu ila ni mtume kama mitume wengine. Na wayahudi...
Kitu ambacho watanzania kunawachanganya ni kwamba hamjui kuwa wenzetu hawaiti majina kwa kutamka tu ila kila jina lazima liwe na maana yake. Yasu sio kiarabu ni ki Aramaic. Jina la isah lina maana yake kwa kiarabu. Yasu au yeshua lina maana yake kwa ki Aramaic. Mfano mamake yesu anaitwa mariam...
Ukiona mwanamke anasema anapenda mwanaume mweusi ujue uyo alishawahi kupenda light skin nigga na akapigwa heartbreak na sasa amehamia kwa black mamba akidhani huku ataonewa huruma. Na sisi black mamba hakuna huruma tunapiga heartbreak kama kawaida.
Shida yako unajaribu kuchambua siasa za kimataifa kwa kutumia kitabu cha kale. Mbaya zaidi icho kitabu wenzako hata kukiamini hawakiamini. Izo kombora za iran kutokua na madhara ni kitu ambacho kimeshatolewa ufafanuzi. Iran wenyewe hawakutaka izo kombora zilete madhara makubwa ili israel isipate...
Ni kweli Ila sasa cha ajabu hao mashia ambao mnasema ni makafiri leo hii ndio angalau wanawatetea wapalestina. Iran, wa huothi wa yemen, hezbollah wa lebanon ndo maadui wakubwa waliobaki kwa israel na wote ni shia. Hata hamas sio shia lakini misaada mingi wanapata kutoka kwa hezbollah na iran...
Taiwan bajeti yao ya jeshi ni dola bilion 19 kwa mwaka. Tanzania gdp ya nchi nzima ni aroumd dola bilion 50. Yani bajeti ya jeshi la taiwan ni almost nusu ya uchumi wa tanzania. Usifkiri taiwan ni wenzetu. Sio wavunja matofali kwa kichwa hawa
Kingine ni kwamba hao wakristo waliokuepo Israeli karibia wote wana asili ya kiarabu/wapalestina. Yaani ni wapalestina wenye uraia wa israel sio wazungu
Sidhani kama mtu yoyote ambae ameifatilia hii vita anaweza kusema mmarekani amechoshwa au kudhoofishwa na putin. Hii vita ambayo wakati inaanza putin alisema itaisha ndani ya siku tatu sasa imepita zaidi ya mwaka na hakuna dalili za russia kushinda ndo kwanza washirika wake wanamgeuka. Wewe...
Najua hujaandika chochote cha mana ndo mana nimekuuliza inawezekana wewe unahisi umeandika kitu cha maana au kuna kitu serikali inajaribu kuficha afu wewe ndo umekigundua [emoji2] thats why watu tunatumia fake id kukujibu yani wanakuogopa[emoji38]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.