Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
Au bidada ni mzushi?
Kafata pesa tu huyo.Ukiona mwanamke anamsifia mtu,ujue ana mchomoa hela zake kisawa sawa.Au bidada ni mzushi?View attachment 2969617
Au bidada ni mzushi?View attachment 2969617
mkuu ulikuwa kiranja wa darasa nn?mjomba wako ni wa kike..? Braza Kede
🤣😅🤣🤣Hebu kwanza , kwa hiyo huyo buda aliyevaa hereni ni Mweusi?
Na Akon ana rangi gani?
Au ndo uzee unanikaribia nashindwa kuona?
mpaka uninibu swali langu kwanza na mm ndo ntakujibumkuu ulikuwa kiranja wa darasa nn?
post imeandikwa na mtoto wakike. Kwake ni sawa kusema wanaume watamu. Kama sisi tunavyosifia au unavyosifia mke wako mtamuHapo aliposema watamu katukosea heshima
Haha...ni mwendo wa matukio tu..ataenda pumzika kaburini ndo hatokumbana na hizo heartbreakUkiona mwanamke anasema anapenda mwanaume mweusi ujue uyo alishawahi kupenda light skin nigga na akapigwa heartbreak na sasa amehamia kwa black mamba akidhani huku ataonewa huruma. Na sisi black mamba hakuna huruma tunapiga heartbreak kama kawaida.
NAKAZIAMalaya Square.
usiseme sisi Black mamba sema mm black mamba. Yaani upumbavu wako unahalalisha wanaume wote?😂😂😂mkuu vipi tena wewe?!Ukiona mwanamke anasema anapenda mwanaume mweusi ujue uyo alishawahi kupenda light skin nigga na akapigwa heartbreak na sasa amehamia kwa black mamba akidhani huku ataonewa huruma. Na sisi black mamba hakuna huruma tunapiga heartbreak kama kawaida.
duhHapo aliposema watamu katukosea heshima
NakataaKafata pesa tu huyo.Ukiona mwanamke anamsifia mtu,ujue ana mchomoa hela zake kisawa sawa.