Nimeumia sana nafungua web nakuta jamaa wameondoka na not selected for oral wakaweka neno Completed.
Nimeumia zaidi baada ya kugundua hata ile interview niliyofanya oral yenye maandishi ya kijani "selected for oral" yaliyokuwa yakinipa matumaini ya kuwepo database nayo wamepita nayo likawekwa...
Usenge wangu uko wapi mkuu
Usenge ni kumuita mtu msenge badala ya kumpa mwongozo
Wewe ndio msenge hata ukimya ni busara kama hujui vitu
Wanaojua watanijuza una ufala sana
Wakuu hivi wale Mzena Hospital ajira zao huwa hazipitii utumishi wanapataje madaktari na wahudumu wengine sijawahi skia wakitangaza kazi hata mara moja na ni taasisi ya kiserikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.