Recent content by kankiza

  1. K

    Wanaume wenye umri mkubwa hatarini saratani ya kinywa kwa kunyonya sehemu za siri

    Raha gani? Huo ni ushetani,bila kutubu jehanamu ni pa kufikia tu.
  2. K

    MERERANI, MANYARA: Wizara ya Madini kufanya mnada wa Tanzanite Oktoba 15, 2017

    Safi sana,Mungu Atusaidie mambo yaende vizuri bila hujuma yoyote.
  3. K

    Jinsi bilionea wa IPTL-Tegeta Escrow alivyonaswa Airport akitaka "kutoroka"

    JPM amerudisha heshima kwa Mtanzania,Mungu Amlinde na Ampe AFYA nzuri.[emoji14] [emoji14] [emoji14]
  4. K

    Utabiri kuhusu kampuni ya ACACIA na makinika

    Mungu Atusaidie haki itendeke.JPM ABARIKIWE KWA KUHAMUA KUIJITO MUHANGA KWA UZARENDO ALIOUONESHA KTK NCHI HII.
  5. K

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Swala siyo kuabudu,ukisoma biblia Kutoka 20:1-4 Neni la Mungu linasema usijifanyie ya kuchonga....JE RC WANAJIFANYIA SANAMU ZA KUCHONGA AU HAWAFANYI? na kama wanafanya hapo wamemtii Mungu au wamwmpuuza? Vilevile ameagiza kuwa tusivisujudie wala kuvitumikia, NAKUULIZA TENA JE UNAPOTENGENEZA...
  6. K

    CAG: Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida, hapa kuna tatizo

    Ingefaa sana wale wote walioingiza nchi hii katika mikataba mibovu kwa ajili ya matumbo yao wakijilimbikizia share kwenye miradi mbalimbali wakawjibishwa kwa madudu waloyoyafanya.
  7. K

    Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Bora anajenga miundo mbinu kwa kodi zetu kuliko wale wanaozipiga mfukoni.
  8. K

    Mkapa: Uongozi bora ni kuwa msikilizaji, mvumilivu na kupenda kusoma mambo ya ndani na nje ya nchi.

    Kwa mwendo wa JPM anaweza kufanya mambo makubwa sana la msingi kama alivyosema yeye ni dereva mzuri hasikii kelele za abiria kweli ni bora afanye hivyo hata watangulizi wake yapo mambo ya kuwasikiliza na mengine azibe masikio.Unakuta MTU anajimilikisha maeneo makubwa ya kufugia bila hata...
  9. K

    Mkapa: Uongozi bora ni kuwa msikilizaji, mvumilivu na kupenda kusoma mambo ya ndani na nje ya nchi.

    Matatizo yote nchi yamechanhiea na mikataba mibovu ya kofisadi kwa manufaa ya watawala enzi hizo,watu wanajua hata kama hawasemi,Raisi JPM anapata shida sana kufumua huozo wa wengine,Mungu Amtie nguvu atimae taiga letu likombolewe.
  10. K

    Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    NDUGU ULISHAWAI SIKIA KUWA VATICAN KUNAPATIKANA MADAWA YA KULEVYA? LAZIMA SERIKALI IFANYE KAZI YAKE MAMBO YA UDINI HAYO NI YA KWAKO TIHI SHERIA BILA SHURUTI,VINGINEVYO UTANYOOKA TU."HAPA KAZI TU".
  11. K

    Tanzania yaondoka kwenye orodha ya Nchi 50 zenye ufisadi uliokubuhu

    Safi sana Raisi wetu pambana mkuu mafisadi wote waseme shikamoo MZEE.
  12. K

    Mchungaji awataka waumini wavue nguo kisha wajichue ili wapokee baraka

    Hao walikuwa kwenye dangulo siyo siyo kanisani.
Back
Top Bottom